Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

meritking

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

meritbet

grandpashabet

grandpashabet

betsat

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

jojobet güncel giriş

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

Featured Kitaifa

MAKAMU WA RAIS AFANYA MAZUNGUMZO NA MKUU WA TAASISI YA KOREA YA BAHARI

Written by Alex Sonna

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akifanya mazungumzo na Mkuu wa Taasisi ya Bahari ya Korea (Korea Maritime Institute ) Dkt. Kim Jong-Deog, Mazungumzo yaliofanyika Jijini Dodoma leo tarehe 15 Juni 2023.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Taasisi ya Bahari ya Korea (Korea Maritime Institute ) Dkt. Kim Jong-Deog pamoja na ujumbe aliofuatana nao mara baada ya  mazungumzo yao yaliofanyika Jijini Dodoma leo tarehe 15 Juni 2023.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Taasisi ya Bahari ya Korea (Korea Maritime Institute) Dkt. Kim Jong-Deog, Mazungumzo yaliofanyika Jijini Dodoma leo tarehe 15 Juni 2023.

Katika mazungumzo hayo, Makamu wa Rais ameishukuru serikali ya Korea kwa kuendelea kuiunga mkono Tanzania katika masuala mbalimbali tangu kuanza kwa ushirikiano wa kidiplomasia baina ya mataifa hayo ikiwemo sekta za afya, elimu, maji na miundombinu.  Amesema Tanzania itaendelea kushirikiana na Korea kwa kuimarisha ushirikiano wa kibiashara na uwekezaji pamoja na masuala ya uchumi wa buluu. 

Makamu wa Rais ameikaribisha Korea kushirikiana na Tanzania katika masuala ya tafiti hususani zinazohusu bahari na rasilimali zake, kuimarisha teknolojia za uvuvi, kuwajengea uwezo wataalamu katika kutumia na kusimamia vema rasilimali za bahari, kuanzisha mpango wa kubadilishana ujuzi pamoja na utalii katika ukanda wa bahari. Pia amesema Tanzania inahitaji uwezo katika kuboresha uvuvi, uchakataji na usambazaji wa samaki pamoja na ujenzi na ukarabati wa meli na mitambo ya baharini. 

Halikadhalika Makamu wa Rais ameishukuru serikali ya Korea kwa kuipa Tanzania kuwa mwenyeji wa Jukwaa la Uvuvi kati ya Korea na Nchi za Afrika (KORAFF) lililofanyika Zanzibar tarehe 14 Juni 2023.

Ameongeza kwamba Tanzania ni mojawapo ya nchi chache duniani zilizojaliwa kuwa na sehemu ya bahari inayokadiriwa kuwa na ukubwa kilometa za mraba zipatazo 64,000, ufukwe wenye urefu wa kilometa 1,424 pamoja na ukanda huru wa kiuchumi upatao kilometa za mraba 223,000 ambao unaongeza wigo wa shughuli za uchumi wa bahari. Amesema faida hiyo ya kijiografia, ni adimu na adhimu kwani inaipa nchi  nafasi kubwa ya kufaidi matunda yatokanayo na bahari pamoja na rasilimali zake. 

Kwa upande wake Mkuu wa Taasisi ya Bahari ya Korea Dkt. Kim Jong-Deog amesema Korea ipo tayari kushirikiana na Tanzania katika utafiti pamoja na kubadilishana uzoefu kwa kutambua upekee wa Tanzania ilionao katika ukanda wa bahari. Pia amesema Tanzania na Korea zinaweza kushirikiana kwa kuzingatia kufanana kwa uzoefu, changamoto na masuluhisho mbalimbali yanayohusu masuala ya bahari na rasilimali zake. 

Dkt Kim ameishukuru Tanzania kwa ushirikiano imara tangu kuanzishwa kwa uhusiano wa kidiplomasia baina ya mataifa hayo mwaka 1992. Aidha amesema Vyuo na Taasisi za Korea na Tanzania vinaweza kushirikiana zaidi na kuandaa sera za masuala ya  bahari kwa maendeleo ya sasa na baadae.

About the author

Alex Sonna