Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

grandpashabet

grandpashabet

betsat

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

jojobet güncel giriş

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

Featured Kitaifa

DOLA ZA KIMAREKANI MILIONI 75 KUJENGA KAMPASI MPYA ZA VYUO VYA UFUNDI NCHINI

Written by Alex Sonna

Serikali imetoa Dola za Kimarekani Milioni 75 kwa ajili ya ujenzi wa kampasi mpya za vyuo vya ufundi nchini.

Hayo yameelezwa na Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Omari Kipanga Jana Juni 14, 2023 Jijini Dodoma wakati wa ziara ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo kukagua maendeleo ya ujenzi wa Chuo Kipya cha Ufundi cha Dodoma (DTC) kinachojengwa katika eneo la Nala Dodoma.

Naibu Waziri huyo amesema fedha hizo zinakwenda kujenga kampasi mpya ya Chuo cha Ufundi Arusha kinachojengwa eneo la Kikuletwa wilayani Hai Mkoani Kilimanjaro ambayo itakuwa ikitoa mafunzo ya umahiri ya Uhandisi wa Umeme Jadidifu na kwamba ujenzi huo unatarajiwa kukamilika mwezi Agosti 2023. Kampasi mbili zinatarajiwa kujengwa na Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam ambapo moja itajengwa jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kutoa wataalam wenye umahiri katika eneo la TEHAMA na Mwanza ambapo itatoa mafunzo ya umahiri katika kuongeza thamani bidhaa za ngozi.

Mhe. Kipanga ameongeza kuwa kampasi nyingine itajengwa na Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) kwa ajili ya kutoa mafunzo ya umahiri wa masuala ya usafirishaji katika maeneo ya anga, maji na nchi kavu.

Amesema kampasi zote hizo zinalenga kuongeza raslimali watu wa kuhudumia maeneo hayo.

“Kazi ya kuandaa rasilimali watu tumekasimiwa sisi Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia hivyo tutahakikisha tunafanya kazi hiyo kwa weledi mkubwa kwa kuhakikisha kampasi hizo zinakamilika kwa wakati na zinatoa mafunzo yaliyokusudiwa ili taifa lipate wataalam hao” amesisitiza Mhe. Kipanga.

Akizungumzia juu ya Chuo cha Ufundi Dodoma Naibu Waziri amesema kuwa ujenzi wa chuo hicho kitagharimu kiasi cha shilingi bilioni 17.9 ambapo mpaka imeshatumika kiasi cha shilingi bilioni 14.1 na ujenzi umefikia asilimia 95% na kinatarakiwa kukamilika ifikapo Julai mwaka huu.

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge Mhe. Kitila Mkumbo amesema Kamati yake imeridhishwa na kufurahishwa na hatua ya ujenzi ilipofikia pamoja na ubora wa majengo na kuitaka wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kuhakikisha ujenzi huo unakamilika ili mwakani wanafunzi waanze mafunzo.

“Tumefika katika eneo linalojengwa Chuo kizuri sana cha Ufundi Dodoma tumetembelea maeneo mbalimbali tumefurahishwa na hatua ambazo Serikali imechukua ni maono makubwa kwani kitachukua wanafunzi 3000 ujenzi wote utakapokamilika ” amesisitiza Prof. Kitila Mkumbo

Prof. Kitila ametoa wito kwa vijana wa Tanzania kufahamu kuwa kwa sasa ulimwengu unawahitaji kuwa na maarifa na stadi za kazi hivyo vyuo vya ufundi vina anzishwa kwa lengo la kuwapa uwezo na stadi ili waweze kutengeneza ajira zao.

Naye Mkadiria Majenzi wa Chuo cha DTC John Kyara amesema chuo hicho kinajengwa na Mkandarasi CRJE na kwamba ujenzi ulianza June 2021 na kwamba wapo ndani ya muda na mpango kazi na lengo ni kukamilisha kazi kwa wakati.

About the author

Alex Sonna