Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino giriş

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

betpark güncel giriş

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

perabet

grandpashabet

tümbet güncel giriş

betsat

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

betpark

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

vidobet

Featured Kitaifa

EWURA YAZINDUA MWONGOZO WA USIMAMIZI MIUNDOMBINU ILIYOKO CHINI YA ARDHI

Written by Alex Sonna

KAMISHNA wa Petroli na Gesi Wizara ya Nishati ,Michael Mjinja,akionyesha Mwongozo wa usimamizi wa pamoja wa Miundombinu  iliyoko chini ya ardhi kwenye Mikuza (wayleave) inayotumiwa na taasisi na Kampuni za huduma mbalimbali mara baada ya kuuzindua kwa niaba ya Katibu Mkuu Wizara ya Nishati.Kulia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Wataalam (JTC) Mhandisi Michael Mngodo,kushoto ni  Mkurugenzi Mkuu wa EWURA Dkt. James Andilile,hafla iliyofanyika leo Juni 15,2023 jijini Dodoma.

KAMISHNA wa Petroli na Gesi Wizara ya Nishati ,Michael Mjinja,akizungumza wakat wa hafla ya uzinduzi wa Mwongozo wa usimamizi wa pamoja wa Miundombinu  iliyoko chini ya ardhi kwenye Mikuza (wayleave) inayotumiwa na taasisi na Kampuni za huduma mbalimbali kwa niaba ya Katibu Mkuu Wizara ya Nishati hafla iliyofanyika leo Juni 15,2023 jijini Dodoma.

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) Dkt. James Andilile,akizungumza wakat wa hafla ya uzinduzi wa Mwongozo wa usimamizi wa pamoja wa Miundombinu  iliyoko chini ya ardhi kwenye Mikuza (wayleave) inayotumiwa na taasisi na Kampuni za huduma mbalimbali hafla iliyofanyika leo Juni 15,2023 jijini Dodoma.

Mwenyekiti wa Kamati ya Wataalam (JTC) Mhandisi Michael Mngodo,akitoa taarifa ya kamati tendaji  wakat wa hafla ya uzinduzi wa Mwongozo wa usimamizi wa pamoja wa Miundombinu  iliyoko chini ya ardhi kwenye Mikuza (wayleave) inayotumiwa na taasisi na Kampuni za huduma mbalimbali hafla iliyofanyika leo Juni 15,2023 jijini Dodoma.

Sehemu ya washiriki wakifatilia Hotuba ya Kamishna wa Petroli na Gesi Wizara ya Nishati ,Michael Mjinja (hayupo pichani) wakat wa hafla ya uzinduzi wa Mwongozo wa usimamizi wa pamoja wa Miundombinu  iliyoko chini ya ardhi kwenye Mikuza (wayleave) inayotumiwa na taasisi na Kampuni za huduma mbalimbali hafla iliyofanyika leo Juni 15,2023 jijini Dodoma.

KAMISHNA wa Petroli na Gesi Wizara ya Nishati ,Michael Mjinja (wa kwanza kulia) akiwa na Mkurugenzi Mkuu wa EWURA Dkt. James Andilile (katikati) wakimsikiliza Afisa Mkuu Huduma kwa Wateja TTCL Bw.Imani Mwakilile, wakat wa hafla ya uzinduzi wa Mwongozo wa usimamizi wa pamoja wa Miundombinu  iliyoko chini ya ardhi kwenye Mikuza (wayleave) inayotumiwa na taasisi na Kampuni za huduma mbalimbali kwa niaba ya Katibu Mkuu Wizara ya Nishati hafla iliyofanyika leo Juni 15,2023 jijini Dodoma.

KAMISHNA wa Petroli na Gesi Wizara ya Nishati ,Michael Mjinja,akizindua wa Mwongozo wa usimamizi wa pamoja wa Miundombinu  iliyoko chini ya ardhi kwenye Mikuza (wayleave) inayotumiwa na taasisi na Kampuni za huduma mbalimbali kwa niaba ya Katibu Mkuu Wizara ya Nishati.Kulia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Wataalam (JTC) Mhandisi Michael Mngodo,kushoto ni  Mkurugenzi Mkuu wa EWURA Dkt. James Andilile,hafla iliyofanyika leo Juni 15,2023 jijini Dodoma.

KAMISHNA wa Petroli na Gesi Wizara ya Nishati ,Michael Mjinja,akionyesha Mwongozo wa usimamizi wa pamoja wa Miundombinu  iliyoko chini ya ardhi kwenye Mikuza (wayleave) inayotumiwa na taasisi na Kampuni za huduma mbalimbali mara baada ya kuuzindua kwa niaba ya Katibu Mkuu Wizara ya Nishati.Kulia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Wataalam (JTC) Mhandisi Michael Mngodo,kushoto ni  Mkurugenzi Mkuu wa EWURA Dkt. James Andilile,hafla iliyofanyika leo Juni 15,2023 jijini Dodoma.

KAMISHNA wa Petroli na Gesi Wizara ya Nishati ,Michael Mjinja,akimkabidhi  Mwongozo wa usimamizi wa pamoja wa Miundombinu  iliyoko chini ya ardhi kwenye Mikuza (wayleave) inayotumiwa na taasisi na Kampuni za huduma mbalimbali  Mwenyekiti wa Kamati ya Wataalam (JTC) Mhandisi Michael Mngodo,mara baada ya kuuzindua leo Juni 15,2023 jijini Dodoma.

 

KAMISHNA wa Petroli na Gesi Wizara ya Nishati ,Michael Mjinja,akiwakabidhi wadau mbalimbali Mwongozo wa usimamizi wa pamoja wa Miundombinu  iliyoko chini ya ardhi kwenye Mikuza (wayleave) inayotumiwa na taasisi na Kampuni za huduma mbalimbali  mara baada ya kuuzindua kwa niaba ya Katibu Mkuu Wizara ya Nishati  leo Juni 15,2023 jijini Dodoma.

Mjumbe wa Bodi ya EWURA na Mwenyekiti wa Kamati ya Nishati,Haruba Masebu,akitoa neno la shukrani kwa Kamishna wa Petroli na Gesi Wizara ya Nishati ,Michael Mjinja (hayupo pichani) mara baada ya kuzindua  Mwongozo wa usimamizi wa pamoja wa Miundombinu  iliyoko chini ya ardhi kwenye Mikuza (wayleave) inayotumiwa na taasisi na Kampuni za huduma mbalimbali  hafla iliyofanyika  Juni 15,2023 jijini Dodoma.

KAMISHNA wa Petroli na Gesi Wizara ya Nishati ,Michael Mjinja,akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuzindua  Mwongozo wa usimamizi wa pamoja wa Miundombinu  iliyoko chini ya ardhi kwenye Mikuza (wayleave) inayotumiwa na taasisi na Kampuni za huduma mbalimbali  kwa niaba ya Katibu Mkuu Wizara ya Nishati hafla iliyofanyika leo Juni 15,2023 jijini Dodoma.

Na.Bolgas Odilo-DODOMA

KAMISHNA wa Petroli na Gesi wizara ya Nishati ,Kamishna Michael Mjinja, amesema ukuaji wa sekta ya gesi asilia nchini umeleta changamoto hasa katika usalama wa miundombinu ya gesi asilia ambayo iko maeneo yanayotumiwa na taasisi zingine katika kufikisha huduma kwa wateja.

Hayo ameyasema leo Juni 15,2023 jijini Dodoma wakati akizindua Mwongozo wa usimamizi wa pamoja wa Miundombinu  iliyoko chini ya ardhi kwenye Mikuza (wayleave) inayotumiwa na taasisi na Kampuni za huduma mbalimbali kwa niaba ya Katibu Mkuu Wizara ya Nishati.

 Amsema kuwa EWURA kwa kushirikiana na wadau wengine wameandaa Mwongozo wa Usimamizi wa Pamoja wa Miundombinu Iliyoko Chini ya Ardhi Kwenye  Mikuza (wayleave) wa Mwaka 2023.

“Mwongozo huo ambao nitauzindua leo kwa dhumuni la kuimarisha usalama wa umma, kuongeza uadilifu na usimamizi makini wa miundombinu iliyopo chini ya ardhi hapa Tanzania Bara”amesema Kamishna Mjinja

Kadhalika, amesema kuwa Mwongozo huo utasaidia katika kuratibu shughuli za ujenzi, uendeshaji, marekebisho na matumizi mengineyo ya mikuza inayotumiwa kwa pamoja na wadau mbalimbali bila kuathiri usalama wa miundombinu, umma na mali zao.

“Hivyo basi, niwatake wamiliki na watumiaji wa mikuza kufuata mwongozo huu pindi wanapofanya shughuli zao”amesema

 Ameipongeza EWURA kwa kuratibu zoezi la uandaaji wa mwongozo huo kuanzia mwaka 2019 pamoja na timu za Wataalamu kutoka kwa wamiliki na watumiaji wa Mikuza ( Joint Technical Committee) na Wakuu wa Taasisi ( Joint Steering Commitee) kwa kuridhia mwongozo huu.

Kwa upande wake Mkurugenzi Mkuu wa EWURA, Dkt. James Andilile,amesema miaka ya hivi karibuni usambazaji wa gesi asilia katika miji ya Dar es Salaam, Pwani, Lindi na Mtwara umeongezeka.

Amesema ongezeko hili limepelekea  shughuli za utandazaji wa miundombinu katika mikuza (wayleaves) inayotumiwa na watoa huduma mbalimbali,  yakiwemo  mabomba ya usambazaji wa  mafuta na maji, miundombinu ya umeme na mawasiliano.

“Shughuli za uchimbaji ili kutandaza miundombinu kwenye mikuza  haziepukiki kwani mahitaji ya huduma zinazotolewa na kampuni mbalimbali zinazidi kuongezeka na kufanyika bila ya kuratibiwa (uncoordinated activities); hivyo basi kusababisha uharibifu wa miundombinu iliyofukiwa chini ya ardhi, migogoro na  kuhatarisha usalama wa miundombinu hiyo, watu na mali zao”amesema Dkt. Andilile

Awali Mwenyekiti wa Kamati ya Wataalam (JTC) Mhandisi Michael Mngodo, alisema kumekua na ongezeko la shughuli zisizoratibiwa kwa pamoja katika utaratibu usio rasmi kwenye miundombinu iliyoko chini ya ardhi hali imayopelekea athari kubwa za kiusalama.

Uharibifu wa mali, mazingira na ajali kwa watu, mfano ni ajali za kupasuliwa kwa mabomba ya gesi asilia, mafuta na maji wakati wa shughuli za ujenzi na maboresho ya miundombinu katika maeneo mbali mbali. Mifano ya ajali kama hizi ipo mingi hasa katika utekelezaji wa miradi mbalimbali inayohusisha uchimbaji wa ardhi.

About the author

Alex Sonna