Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

aresbet

betcool

avrupabet

vipslot

betcool

realbahis

betmarino

casinowon

Hacklink panel

holiganbet

jojobet

Google

holiganbet

marsbahis

luxbet

betmarino giriş

kareasbet

gobahis giriş

betcool giriş

betnis giriş

elitbahis giriş

luxbet

primebahis

betturkey

betturkey giriş

betturkey

betturkey giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

coinbar

grandpashabet

grandpashabet

betpark giriş

betpark

betpark güncel giriş

porno izle

uyuşturucu satın al

runtobet

runtobet giriş

1xbet

marsbahis, marsbahis giriş

gameofbet

jojobet

hepbet giriş

betmarino

parmabet

avrupabet giriş

hepbet

hazbet giriş

gobahis

betnis

parmabet

realbahis

luxbet giriş

hazbet

aresbet giriş

betlivo

betface

betlivo giriş

betra giriş

gallerbahis

marsbahis güncel giriş 2026

parmabet giriş

kareasbet

casival giriş

celtabet

celtabet giriş

vipslot giriş

lordcasino

realbahis giriş

betface giriş

millibahis

lordcasino giriş

aresbet

vipslot

elitbahis

bungalov kiralama

kiralık bungalov

alobet, alobet giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

pashagamingg

pasacasino

kingroyal

https://sjconsultors.com/

artemisbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

mariobet

Madridbet

betbox

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

meritbet giriş

betasus

meritbet

jojobet güncel giriş

jojobet

bets10 sorunsuz giriş

jetbahis

jojobet

mercurecasino

sweet bonanza

mavibet

coinbar giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

ibizabet

jojobet giriş

sapanca bungalov kiralama

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

celtabet

millibahis

lordcasino

casival

mavibet giriş

betlike giriş

coinbar

coinbar

artemisbet

mavibet

artemisbet giriş

mavibet

artemisbet giriş

betlike

mavibet giriş

coinbar giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu veren siteler

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

jojobet

meritking

betsat

matbet, matbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betpark

betsat

dinamobet

betpas

grandpashabet

casibom

grandpashabet

casibom

jojobet

jojobet

betpas

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

betmarino

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

ikimisli

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

holiganbet

İmajbet

İmajbet

Featured Michezo

MABORESHA YA SERA NA MITAALA YA ELIMU KUZINGATIA MICHEZO,SANAA NA UBUNIFU NCHINI

Written by Alex Sonna

Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imesema itahakikisha Sera ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 2014 Toleo la 2023 pamoja na Mitaala inayoboreshwa inaweka kipaumbele masuala ya Michezo, Sanaa na Ubunifu ili kukuza michezo nchini

Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Omari Kipanga Juni 13, 2023 Mkoani Tabora wakati wa ufungaji wa mashindano ya Umoja wa Michezo na Taaluma kwa Wanafunzi wa Shule za Msingi Tanzania (UMITASHUMTA) ambapo amesema Rasimu ya Sera ya Elimu una mafunzo ya mwaka 2014 toleo la mwaka 2023 ukurasa 39 imeweka bayana Utambuzi na uendelezaji wa vipaji na vipawa katika elimu na mafunzo.

Mhe. Kipanga ameongeza kuwa fani ya michezo, sanaa na ubunifu duniani inatiliwa mkazo kwa kuwa kitaalamu ndiyo inayojenga na kuimarisha ufahamu na afya ya mwanadamu pamoja na kwamba michezo inaburudisha, inakuza uwezo wa kufikiri kwa namna nyingi.

” Serikali inatambua faida nyingi zinazopatikana kutokana na michezo zikiwemo kuimarisha stadi za kujifunza, kujenga na kuimarisha afya, kujenga nidhamu ya raia, kujenga na kuimarisha mahusiano baina ya raia. Vijana katika nchi mbalimbali wamekuwa wakijipatia kipato kutokana na michezo na sanaa, jambo ambalo imechangia kukuza uchumi wa nchi” amesisitiza Kiongozi huyo.

Naibu Waziri Kipanga amesema kwa sasa wizara imetenga Vyuo vitano vya ualimu vinavyotoa mafunzo ya ualimu kwa fani ya michezo ambavyo ni Butimba, Tarime, Tabora, Ilonga na Mtwara Kawaida. Aidha Chuo cha ualimu Butimba kina fani za michezo, sana aza maonesho, muziki na sanaa ya ufundi.

Mhe. Kipanga ameongeza kuwa Serikali iko makini kuunga mkono juhudi zenye kuhakikisha michezo inalipeleka Taifa katika viwango vya juu kitaifa na kimataifa na kuwataka viongozi wa ngazi zote katika mashindano hayo kusimamia, kufuatilia, na kuhakikisha kuwa mashindano yanavuka mipaka ya nchi.

“Michezo hii itatuwezesha kupata wachezaji mahiri watakaotuwakilisha katika michezo ya wanafunzi wa shule za Msingi na Sekondari ya Afrika ya Mashariki itakayofanyika nchini Rwanda mwezi Agosti mwaka huu” amesema Naibu Waziri huyo.

Naye Mkurugenzi wa Elimu kutoka Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa TAMISEMI Vincent Kayombi amesema mashindano ya UMITASHUMTA kwa Mwaka 2023 yamehusisha wanamichezo wanafunzi 3,164 wasichana walikuwa 1531 na wavulana 1633 na walimu, waratibu na viongozi 729 kutoka Tanzania Bara na Zanzibar ambao walipata fursa ya kuonyesha vipaji vyao katika michezo ya mpira wa miguu, mikono, wavu, kikapu, netiboli, riadha na mchezo wa goli na sanaa za jukwaani katika vipengele vya ngoma za asili, kwaya na mziki wa kizazi kipya.

Kayombo ameongeza kuwa ili kuwajengea stadi za maisha wanamichezo hao wameshindanishwa katika masuala ya usafi na nidhamu, na kwa kuwa michezo hiyo ni sehemu ya taaluma wa kati wa mashindano walimu na wanamichezo walipata mafunzo maalum ya uamuzi na ukocha ya michezo wanayoshiriki ili kuwajengea umahiri utakaowasaidia kuboresha uwezo wao katika michezo wanayoshiriki.

“Katika ufunguzi wa michezo hii Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Philip Mpango alizindua Mwongozo wa kudumu wa uendeshaji wa mashindaano ya michezo ya UMITASHUMTA na UMISSETA ambao umeanza kutumika katika mashindano ya mwaka huu ambapo umekuwa na manufaa ikiwemo kuwa na mashindani ya haki kwa kuzingatia umri stahiki”amesema…

Katibu Tawala wa Mkoa wa Tabora Dkt. John Mboya amesema mashindano hayo ambayo yanafanyika kwa mara ya pili mfulilizo yamekuwa na mafanikio makubwa nakushukuru kwa mashindano hayo kuendelea kufanyika kwa mara ya pili katika mkoa huo

About the author

Alex Sonna