Featured Kitaifa

RAIS SAMIA AWASILI JIJINI MWANZA KWA AJILI YA SHEREHE ZA MACHIFU

Written by mzalendoeditor

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Amos Makalla mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Mwanza uliopo Ilemela Mkoani humo tarehe 12 Juni, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi wa Dini mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Mwanza uliopo Ilemela Mkoani humo tarehe 12 Juni, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasalimia wananchi wa Ilemela waliofika kumpokea katika uwanja wa Ndege wa Mwanza mara baada ya kuwasili tarehe 12 Juni, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasalimia wananchi wa Mwanza waliokuwa wakimsubiri katika eneo la CCM Nyamagana Mkoani Mwanza tarehe 12 Juni, 2023.

About the author

mzalendoeditor