Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

hackhaber

grandpashabet

film izle

casibom

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

pokerklas, pokerklas giriş

korsan taksi istanbul, istanbul korsan taksi

betsat

tipobet

ilbet

ilbet giriş

pulibet

onwin

tarafbet

marsbahis

betgar giriş

bets10 güncel giriş adresi

tipobet güncel giriş

betebet

jojobet giriş

ilbet

hilbet

jojobet giriş

casibom güncel giriş

Ankara escort

kingroyal

güvenilir bahis siteleri

film izle

vdcasino giriş

betasus

marsbahis, marsbahis giriş

Google

bahiscasino

ultrabet

betasus

casibom

Greece Fentanyl Buy

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

jojobet

jojobet

casibom giriş

jojobet giriş

sweet bonanza giriş

sweet bonanza

deneme bonusu

matbet

romabet

marsbahis

grandpashabet

bahiscasino

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

jojobet

marsbahis

jojobet

jojobet

kingroyal

jojobet giriş

jojobet

jojobet giris

jojobet

jojobet

meritking

marsbahis

mavibet

meritking

meritking giriş

mavibet güncel giriş

marsbahis güncel giriş

meritking güncel giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

jojobet

marsbahis

marsbahis

marsbahis

betgit

Hacklink panel

betpas

holiganbet

Google

jojobet

holiganbet

jojobet telegram

jojobet giris

ikimisli

ikimisli giriş

marsbahis giriş

jojobet güncel giriş

marsbahis giriş

marsbahis

primebahis

tümbet

tümbet giriş

otobet

otobet giriş

sahabet

meritking giriş

meritking güncel giriş

padişahbet

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

otobet

otobet giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

mavibet giriş

pokerklas

pokerklas

casibom giriş

meritbet

casibom

uyuşturucu satın al

matbet

runtobet

runtobet giriş

1xbet

pokerklas, pokerklas giriş

betvole

jojobet

ikimisli

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

betkolik

ikimisli giriş

marsbahis giriş

marsbahis giriş

ikimisli giriş

ikimisli

betkolik

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

betkolik giriş

ikimisli giriş

ikimisli

ikimisli

ikimisli giriş

vaycasino giriş

betkolik

betkolik giriş

betkolik giriş

jojobet giriş

betkolik

ikimisli

marsbahis giriş

jojobet giriş

betkolik

marsbahis giriş

betkolik giriş

jojobet mobil

ikimisli giriş

betkolik giriş

grandbetting

parmabet

aresbet, aresbet giriş

matbet, matbet giriş

deneme bonusu

marsbahis giriş

Deneme Bonusu

ligobet

kingroyal

https://sjconsultors.com/

ikimisli

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Starzbet

Starzbet

betbox

casibom

mavibet giriş

meritking

dedektör

vdcasino giriş

marsbahis

jojobet

deneme bonusu veren siteler

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet

betsat

tipobet

jojobet

cratosroyalbet

turkey dental implants

mavibet

artemisbet

setrabet

jojobet

anadoluslot

süratbet

jojobet giriş

betvoy

marsbahis

marsbahis giriş

marsbahis güncel giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet giriş

mavibet

mavibet giriş

aresbet

aresbet giriş

kavbet

kavbet giriş

ikimisli giriş

ikimisli

ikimisli giriş

ultrabet

ultrabet giriş

mavibet

deneme bonusu

deneme bonusu veren siteler

romabet

meritking

deneme bonuau veren siteler

av ซับไทย

Featured Kitaifa

BARRICK YADHAMINI KONGAMANO LA WASOMI WA VYUO VIKUU LILILOANDALIWA NA AIESEC KATIKA CHUO KIKUU CHA SAUT MWANZA

Written by Alex Sonna
Afisa Rasilimali watu mwandamizi wa Barrick Crispin Ngwaji, akizungumza na wanafunzi wa vyuo vikuu mbalimbali vya mkoani Mwanza wakati wa kongamano la kuwajengea uwezo lililoandaliwa na taasisi ya kimataifa ya vijana isiyo ya kiserikali inayohamasisha masuala ya uongozi na kujitolea kwa Jamii ya AIESEC Tanzania na kudhaminiwa na Kampuni ya uchimbaji madini ya Barrick, lililofanyika jijini Mwanza katika chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine mwishoni mwa wiki.
 ***
 
KAMPUNI ya Barrick nchini Tanzania, imedhamini na kushiriki katika kongamano la wanafunzi wa vyuo vikuu lililoandaliwa na taasisi ya kuchipua na kuendeleza vipaji vya uongozi kwa vijana (AIESEC Tanzania) lililofanyika katika Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine jijini Mwanza na kuwashirikisha wanafunzi,wahadhiri na wadau mbalimbali.
 
Taasisi ya AIESEC inasifika kwa mchango wake mkubwa wa kuwajengea uwezo vijana ili kuwa viongozi bora na mahiri duniani kwa miaka ijayo. Nchini Tanzania pia taasisi hiyo inafanya kazi kwa kuwakutanisha vijana wenye ndoto ya kuwa viongozi bora hapo baadae ambapo pia inatoa fursa kwa vijana kujiunga.
 
 
Kupitia kongamano hili ambalo hufanyika kila mwaka, wanafunzi huweza kufahamu jinsi taasisi mbalimbali nchini zinavyoendesha shughuli zake lengo kubwa ikiwa ni kuwajengea uwezo wa kujua vipaji walivyonavyo, kujifunza jinsi ya kujiamini na kukabiliana na ushindani katika soko la ajira, kujitambua uwezo wao ni jinsi gani wanaweza kushiriki kutoa mchango wa kuendeleza taifa pindi wamalizapo masomo yao.
 
 
Wataalamu mbalimbali walitoa mada za kuwajengea uwezo Wanafunzi kusoma kwa bidii na kuzidi kuwa wabunifu ili waweze kwenda sambamba na mabadiliko ya kiteknolojia na kidigitali ili waweze kunufaika na fursa mbalimbali za ajira zinazojitokeza na pia kuwa na uwezo wa kujiajiri.
 
 
Maofisa Rasilimali Watu Waandamizi wa Barrick pia walishiriki katika maonesho na kongamano hilo ambapo walipata fursa kuzungumza na wanafunzi kuhusiana na kukabiliana na changamoto mbalimbali ikiwemo ajira,kuendeleza vipaji vyao pia wanafunzi walipata fursa kuelewa jinsi kampuni ya kimataifa ya Barrick, inavyoendesha shuguli zake kwa kutoa kipaumbele kusaidia jamii sambamba na mpango wake wa kuibua na ukuzaji wa vipaji kwa vijana wa kitanzania na wafanyakazi wake na mpango wa kampuni wa kufanikisha kutekeleza malengo endelevu ya milenia.
 
 
Afisa Mazingira wa jiji la Mwanza Fanuel Kasenene akiongea katika kongamano hilo alitoa wito kwa wanafunzi kutumia fursa za mafunzo kama haya ya kuwajengea uwezo kuhakikisha maarifa wanayipatiwa wanayatekeleza kwa vitendo badala ya kutegemea elimu ya taaluma zao tu na aliipongeza kampuni ya Barrick kwa jitihada inazofanya kuibua na kukuza vipaji vya vijana wenye viwango mbalimbali vya elimu na kuwapatia ajira sambamba na kuwawezesha kujiajiri.
Afisa Rasilimali watu wa Barrick North Mara, Daniel Paul, akizungumza na wanafunzi wa vyuo vikuu mbalimbali vya mkoani Mwanza wakati wa kongamano la kuwajengea uwezo lililoandaliwa na taasisi ya kimataifa ya vijana isiyo ya kiserikali inayohamasisha masuala ya uongozi na kujitolea kwa Jamii ya AIESEC Tanzania na kudhaminiwa na Kampuni ya uchimbaji madini ya Barrick, lililofanyika jijini Mwanza katika chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine mwishoni mwa wiki.
Afisa Mazingira wa jiji la Mwanza, Fanuel Kasenene, akiongea katika kongamano hilo
Wanafunzi wa vyuo vikuu mbalimbali vya mkoani Mwanza wakifurahia jambo, wakati wa kongamano hilo.
Wanafunzi wa vyuo vikuu mbalimbali vya mkoani Mwanza wakifurahia jambo, wakati wa kongamano hilo.
Wanafunzi wa vyuo vikuu vya mkoani Mwanza wakiskani codes ili kuingia kwenye fursa zilizopo katika kampuni ya Barrick nchini, wakati wa kongamano hilo.
Wanafunzi wa vyuo vikuu vya mkoani Mwanza wakiskani codes ili kuingia kwenye fursa zilizopo katika kampuni ya Barrick nchini, wakati wa kongamano hilo.
Picha ya pamoja ya baadhi ya wafanyakazi wa Barrick na viongozi wa AISEC wakati wa kongamano hilo
Picha ya pamoja ya baadhi ya wanafunzi na wadau mbalimbali walioshiriki katika kongamano hilo

About the author

Alex Sonna