Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

kavbet

kavbet

jojobet giriş

marsbahis giriş

jojobet giriş

jojobet telegram

marsbahis

jojobet giriş

netbahis

sapanca bungalov

marsbahis

deneme bonusu veren siteler

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

deneme bonusu

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

hackhaber

grandpashabet

film izle

casibom

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

monobahis, monobahis giriş

alobet, alobet giriş

grandpashabet

betsat

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

onwin

betpas

jojobet

betgar giriş

bets10 güncel giriş adresi

kingroyal

jojobet

jojobet güncel giriş

ilbet

hilbet

jojobet giriş

sweet bonanza oyna

Ankara escort

kingroyal

güvenilir bahis siteleri

dizipal

vdcasino giriş

piabet

caddebet, caddebet giriş

Google

casinoroyal

primebahis

marsbahis giriş

sweet bonanza

Doctors | Akdeniz University Hospital Login

deneme bonusu veren siteler

casino siteleri

jojobet giriş

holiganbet

sweet bonanza

casibom giriş

betflix

betflix

deneme bonusu

betpuan

bettilt

cashwin

holiganbet

jojobet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

jojobet

marsbahis

jojobet

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet

jojobet

marsbahis giriş

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

mavibet

marsbahis

marsbahis

marsbahis

meritking

meritking

marsbahis

meritking

jojobet

jojobet güncel

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet telegram

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

nesinecasino

Hacklink panel

zirvebet

meritking

Google

meritking giriş

holiganbet

jojobet adres

jojobet giris

jojobet giris

jojobet para çekme

jojobet güncel

jojobet giris

jojobet giris

jojobet

favorisen

otobet

otobet giriş

betturkey

betturkey giriş

sahabet

marsbahis giriş

marsbahis giriş

truvabet

mavibet

mavibet

mavibet

Bet365 Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

cratosroyalbet

piabellacasino

robinbet

tipobet

holiganbet

porno izle

bets10

porno izle

runtobet

runtobet giriş

1xbet

aresbet, aresbet giriş

betebet

holiganbet

jojobet erişim

jojobet adres

jojobet para yatırma

jojobet giris

marsbahis

jojobet adres

jojobet oyunlar

jojobet güncel

jojobet giriş

jojobet son giriş

jojobet canlı bahis

jojobet aninda

jojobet bonuslar

jojobet bahis

jojobet casino

jojobet adres

jojobet telegram

giriş jojobet

marsbahis

marsbahis

marsbahis giriş

jojobet vip giriş

jojobet tik giriş

jojobet adres

jojobet gir

marsbahis giriş

güncel giriş burada jojobet

jojobet telegram

jojobet heyecan

jojobet telegram

marsbahis

jojobet güncel

jojobet güncel

nerobet

meritking

marsbahis, marsbahis giriş

pokerklas, pokerklas giriş

deneme bonusu

jojobet giriş

grandpashabet

gorabet

jojobet

https://sjconsultors.com/

mavibet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

pusulabet

pokerklas

betbox

casibom

meritking giriş

meritking

dedektör

vdcasino

marsbahis

casibom

grandpashabet

jojobet güncel giriş

casibom güncel giriş

jojobet

cratosroyalbet

cratosroyalbet giriş

sekabet giriş

tambet

dental implants turkey

mavibet

mavibet

Featured Kitaifa

WAZIRI NDUMBARO ATAJA MALENGO SITA KUANZISHWA JUKWAA LA HAKI MWANAMKE 

Written by Alex Sonna

 

WAZIRI wa Katiba na Sheria,Dk.Damas Ndumbaro,akizungumza wakati akizindua Jukwaa la Kitaifa la Haki Mwanamake hafla iliyofanyika leo Juni 6,2023 jijini Dodoma.

Naibu Waziri Katiba na Sheria Mhe.Pauline Gekul,wakati wa uzinduzi wa  Jukwaa la Kitaifa la Haki Mwanamake hafla iliyofanyika leo Juni 6,2023 jijini Dodoma.

Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Bi.Mary Makondo,akizungumza wakati wa uzinduzi wa  Jukwaa la Kitaifa la Haki Mwanamake hafla iliyofanyika leo Juni 6,2023 jijini Dodoma.

Naibu Waziri wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Makundi maalum, Mhe.Mwanaidi Ali Khamis,akitoa salamu za Wizara wakati wa uzinduzi wa  Jukwaa la Kitaifa la Haki Mwanamake hafla iliyofanyika leo Juni 6,2023 jijini Dodoma.

Wakili wa Serikali Bi.Ester Msambazi,akizungumza wakati wa uzinduzi wa  Jukwaa la Kitaifa la Haki Mwanamake hafla iliyofanyika leo Juni 6,2023 jijini Dodoma.

Meneja Rasiliamali na Mawasiliano kutoka Shirika la  Legal Services Facility (LSF) Bi.Jane Matinde,akitoa salamu za Shirika hilo wakati wa uzinduzi wa  Jukwaa la Kitaifa la Haki Mwanamake hafla iliyofanyika leo Juni 6,2023 jijini Dodoma.

 Mwakilishi wa UN Women Bi.Racheal Boma ,akizungumza wakati wa uzinduzi wa  Jukwaa la Kitaifa la Haki Mwanamake hafla iliyofanyika leo Juni 6,2023 jijini Dodoma.

Mwakilishi wa Ubalozi wa Sweden ,Nasieku Kisambu,akizungumza wakati wa uzinduzi wa  Jukwaa la Kitaifa la Haki Mwanamake hafla iliyofanyika leo Juni 6,2023 jijini Dodoma.

Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Bi.Aziza Mumba,akitoa salamu za Mkoa wake wakati wa uzinduzi wa  Jukwaa la Kitaifa la Haki Mwanamake hafla iliyofanyika leo Juni 6,2023 jijini Dodoma.

Sehemu ya washiriki wakifatilia hotuba ya Waziri  wa Katiba na Sheria,Dk.Damas Ndumbaro (hayupo pichani) wakati akizindua Jukwaa la Kitaifa la Haki Mwanamake hafla iliyofanyika leo Juni 6,2023 jijini Dodoma.

WAZIRI wa Katiba na Sheria,Dk.Damas Ndumbaro,akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuzindua Jukwaa la Kitaifa la Haki Mwanamake hafla iliyofanyika leo Juni 6,2023 jijini Dodoma.

Na.Alex Sonna-DODOMA

WAZIRI wa Katiba na Sheria,Dk.Damas Ndumbaro ameyataja malengo sita  ya kuundwa kwa Jukwaa la Haki Mwanamke ikiwemo kupata ushahidi katika masuala yanayoathiri wanawake na changamoto zinazowakabili na kutambua vipaumbele vya haki ya wanawake nchini Tanzania.

Akizunguza leo  Juni 6,2023 Jijini  Dodoma wakati wa uzinduzi wa jukwaa hilo,Waziri Ndumbaro amesema maandalizi ya upatikanaji  wa jukwaa hilo  umepitia michakato mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuhakikisha kunakuwa na malengo ambayo yatamnufaisha mwanamke moja kwa moja.

Ameyataja malengo hayo ni kupata ushahidi katika masuala yanayoathiri wanawake na changamoto zinazowakabili na kutambua vipaumbele vya haki ya wanawake nchini Tanzania.

Pia,kuwezesha ushiriki mzuri na wa kimkakati juu ya mahitaji ya kimkakati, maslahi na vipaumbele vya wanawake kupata Haki nchini Tanzania.

“Kukuza ubunifu, ujumuishaji na uimarishaji wa uwezo wa pande zote kwa ajili ya kuendeleza majukumu ya mamlaka ya kitaasisi na uendelevu wa Jukwaa,”alisema Waziri Ndumbaro.

Ameyataja malengo mengine ni kukuza mashirikiano yenye maana na msingi na kimkakati kwa Taasisi zenye mlengo sawa na Wizara nchini Tanzania na kwingineko kwa ajili kudumisha upatikanaji wa haki kwa wanawake nchini.

Pia,kuboresha mashirikiano ili kupata, mifano bora na kujifunza miongoni mwa wajumbe wa jukwaa; vi. Kuboresha mifumo ya kisheria, kimazingira, kijamii, kiuchumi ili kuwawezesha wanawake katika Sekta, Taasisi na Mashirika.

“Kukuza na kuimarisha usawa wa usawa kwa wanawake katika ngazi ya Kitaifa, Kikanda na Kimataifa; na viii. Kuhakikisha uzingatiaji wa Hati za Kimataifa na Kikanda kuhusu haki za wanawake,”alisema Waziri Ndumbaro.

Dk Ndumbaro amesema jukwaa la Haki Mwanamke ni jukwaa endelevu ambalo limetengenezewa mifumo imara ya kiutendaji na litajishughulisha na maeneo mbalimbali ya utoaji haki nchini.

Amesema  maeneo hayo ni pamoja na eneo la haki kwa mujibu wa sheria, haki za kiuchumi, haki za kijamii, haki za kimazingira na haki za kisiasa.

“ Jukwaa hili litaendeshwa kwa mfumo rasmi ikiwa ni pamoja na kuwa na kamati mbalimbali za kiutendaji, Mkutano Mkuu wa Jukwaa la Haki Mwanamke, Kamati ya Sekretariati, Kamati ya Uratibu Serikalini na Taasisi zisizokuwa za Kiserikali,”alisema Dk Ndumbaro.

Amesema Serikali  katika kulinda haki za Mwanamke itazingatia  matakwa ya Katiba, Mikataba ya Kimataifa na Kikanda, Sheria mbalimbali za nchi Kanuni zilizopo, taratibu walizojiwekea  na maelekezo mbalimbali ya Viongozi wa Serikali.

Kwa upande wake Naibu Waziri wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Makundi maalum, Mhe.Mwanaidi Ali Khamis amesema wanawake wamekuwa kimya pindi wanapokumbana na changamoto za maisha hivyo jukwaa hilo litahakikisha wanapata haki zao.

Naye Wakili wa Serikali Ester Msambazi ameeleza kuwa ukatili bado upo kwa wanawake kwakuwa mfumo wa haki haujamwezesha kupata haki kwa wakati hivyo kupitia jukwaa hilo watahakikisha suala hilo linawafikia kwa wakati.

Awali Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Mary Makondo amesema wanawake hukosa haki kwa sababu ya ukosefu wa uelewa hivyo kupitia jukwaa hilo kila mdau atatimiza wajibu wake ili kuhakikisha malengo tarajiwa yanafikiwa na wanapata haki zao.

About the author

Alex Sonna