Featured Michezo

MWAMBA APIGA MAMILIONI YA MERIDIANBET KWA NJIA HII

Written by mzalendoeditor

Maisha ni mipango bila ya kuweka malengo ni sawa na kusafiri bahari ni bila kuwa nadira, hutojua unaelekea wapi. Meridianbet wanakukupa  tochi ya kumulika maisha yako kama ambavyo mfalme mpya wa beti na kitochi alivyoangaza maisha yake kwa dau la Tsh 250/= kisha kujishindia mamilioni ya pesa.

 

Huyu ni mwamba sana aliyeibuka Milionea kwa siku mojatu, ambayo aliamua kubashiri na Meridianbet kupitia beti na kitochi *149*10# kisha aliweka dau la Tsh 250 na kuanza kusikilizia maokoto (pesa) kudondoka.

Ili kujiweka kwenye nafasi kubwa ya ushindi Mfalme mpya wa kubashiri soka aliamua kuweka machaguo yenye odds kubwa, huku kila timu akiipa chaguo lake ambalo alionalinaweza kuzalisha Tsh 250/= na kuwa mamilioni.

Mabibi na Mabwana hatimaye Meridianbet wamemtambulisha kwenye familia ya mabingwa, mshindi mpya wa Tsh Milioni 2,183,703/=na wewe una nafasi ya kuwa mfalme ukibashiri soka na kucheza kasino ya mtandaoni.

 

Mbinu Gani Alitumia Kushinda?

Mfalme huyu alitengeneza tiketi yenye timu 11 za uhakika, huku akichagua machaguo ya aina tatu kama vile sare kipindi cha kwanza, ushindi kwa timu ya ugenini, ushindi kwa timu ya nyumbani na sare kipindi cha pili.

Kati ya timu 11 timu saba alizipa chaguo la sare kwenye kipindi cha kwanza, huku nne zilizobaki akitoa ushindi kwa timu ya ugenini na nyumbani.

NB: Ligi zimeisha lakini usiwaze wajanja wanatengeneza hela kupitia kasino ya mtandaoni, jiunge meridianbet kama bado na upate mizunguko ya bure kucheza kasino ya mtandaoni, jiunge sasa.

 

 

 

About the author

mzalendoeditor