Featured Kitaifa

MATUKIO KATIKA PICHA WAZIRI MKUU AKIWA BUNGENI JIJINI DODOMA

Written by mzalendoeditor

 

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Dkt. Ashatu Kijaji, bungeni jijini Dodoma

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Jenista Mhagama (kushoto) akizungumza na Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Dkt. Ashatu Kijaji (katikati) na Mwanasheria Mkuu, Serikali Jaji Dkt.  Eliezer Feleshi, bungeni jijini Dodoma, Juni 5, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

mzalendoeditor