Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

kingroyal

jojobet giriş

jojobet

millibahis giriş

betlivo

betra

meritking giriş

marsbahis

meritking

meritking

meritking giriş

mavibet güncel giriş

meritking telegram

meritking giriş

aresbet

betcool

avrupabet

vipslot

betcool

realbahis

betmarino

casibom

Hacklink panel

holiganbet

jojobet

Google

holiganbet

jojobet

luxbet

betmarino giriş

kareasbet

gobahis giriş

betcool giriş

betnis giriş

elitbahis giriş

luxbet

primebahis

betturkey

betturkey giriş

betturkey

betturkey giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

coinbar

timebet

betpas

betpark giriş

holiganbet

betpark

uyuşturucu satın al

porno izle

runtobet

runtobet giriş

1xbet

matbet, matbet giriş

gameofbet

jojobet

hepbet giriş

betmarino

parmabet

avrupabet giriş

hepbet

hazbet giriş

gobahis

betnis

parmabet

realbahis

luxbet giriş

hazbet

aresbet giriş

betlivo

betface

betlivo giriş

betra giriş

gallerbahis

vaycasino giriş

parmabet giriş

kareasbet

casival giriş

celtabet

celtabet giriş

vipslot giriş

lordcasino

realbahis giriş

betface giriş

millibahis

lordcasino giriş

aresbet

vipslot

elitbahis

bungalov kiralama

kiralık bungalov

alobet, alobet giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

slot siteleri

süratbet

kingroyal

https://sjconsultors.com/

artemisbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

mariobet

jojobet giriş

betbox

casibom

mavibet giriş

meritking

dedektör

vdcasino giriş

jojobet

Meritking

holiganbet

jojobet güncel giriş

jojobet

betsat

bets10 sorunsuz giriş

jojobet

casibom

holiganbet

mavibet

coinbar giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

timebet

jojobet giriş

sapanca bungalov kiralama

meritking giriş

meritking güncel giriş

meritking güncel giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

celtabet

millibahis

lordcasino

casival

mavibet giriş

betlike giriş

coinbar

coinbar

artemisbet

mavibet

artemisbet giriş

mavibet

artemisbet giriş

betlike

mavibet giriş

coinbar giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

meritking

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

jojobet

meritking

betsat

marsbahis, marsbahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

bets10

betsat giriş

sekabet güncel giriş

casinoroyal

casibom

ultrabet

casibom

casibom

casibom

grandpashabet

ultrabet

grandpashabet

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

betmarino

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

marsbahis

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

pusulabet

marsbahis

deneme bonusu

betsa

goldenbahis

ngsbahis

betpuan

restbet

yakabet

betplay

Featured Kitaifa

DKT.MPANGO ATOA MAAGIZO MAZITO KWA NEMC NA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA NCHINI 

Written by Alex Sonna

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akihutubia Viongozi na Wananchi mbalimbali wa Mkoa wa Dodoma mara baada ya kuongoza zoezi la kufanya usafi katika Soko Kuu la Wamachinga mjini Dodoma ikiwa ni Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani leo tarehe 05 Juni 2023.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiongoza Viongozi na Wananchi mbalimbali wa Mkoa wa Dodoma kufanya usafi katika Soko Kuu la Wamachinga mjini Dodoma ikiwa ni Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani leo Juni 5,2023.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akisukuma toroli alilotumia kukusanya takataka mara baada ya kuongoza zoezi la kufanya usafi katika Soko Kuu la Wamachinga mjini Dodoma ikiwa ni Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani leo Juni 05  2023.

 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akihutubia Viongozi na Wananchi mbalimbali wa Mkoa wa Dodoma mara baada ya kuongoza zoezi la kufanya usafi katika Soko Kuu la Wamachinga mjini Dodoma ikiwa ni Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani leo tarehe 05 Juni 2023.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Dkt. Selemani Jafo,akizungumza mara baada ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango kuwaongoza kufanya  usafi katika Soko Kuu la Wamachinga mjini Dodoma ikiwa ni Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani leo Juni 5,2023.

Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge Maji na Mazingira, Jackson Kiswaga,akizungumza mara baada ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango kuwaongoza kufanya  usafi katika Soko Kuu la Wamachinga mjini Dodoma ikiwa ni Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani leo Juni 5,2023.

Kaimu Katibu Mkuu, Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira,Dkt. Switbert Mkama,,akizungumza mara baada ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango kuwaongoza kufanya  usafi katika Soko Kuu la Wamachinga mjini Dodoma ikiwa ni Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani leo Juni 5,2023.

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule,akitoa salamu za mkoa wake  mara baada ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango kuwaongoza kufanya  usafi katika Soko Kuu la Wamachinga mjini Dodoma ikiwa ni Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani leo Juni 5,2023.

Mwenyekiti Msaidizi wa Soko la Wamachinga Bw.Christian Msumari ,akitoa shukrani kwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango mara baada ya kuongoza zoezi la kufanya usafi katika Soko Kuu la Wamachinga mjini Dodoma ikiwa ni Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani leo tarehe 05 Juni 2023.

Naibu Waziri wa Kilimo na Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mhe.Anthony Mavunde ,akizungumza mara baada ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango kuwaongoza kufanya usafi katika Soko Kuu la Wamachinga mjini Dodoma ikiwa ni Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani leo tarehe 05 Juni 2023.

 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango amelitaka Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) pamoja na Mamlaka za Serikali za Mitaa kote nchini kuongeza nguvu zaidi katika kusimamia utekelezaji wa katazo la matumizi ya mifuko ya plastiki hapa nchini.

Makamu wa Rais ametoa maagizo hayo mara baada ya kuongoza zoezi la kufanya usafi katika soko kuu la wamachinga mjini Dodoma ikiwa ni katika kuadhimisha Siku ya Mazingira Duniani leo tarehe 5 Juni 2023. Amesema ni lazima kuhakikisha hatua za kisheria zinachukuliwa kwa wanaokiuka maagizo hayo pamoja na kuwataka watendaji wote wanaohusika kusimamia kwa karibu uzalishaji na matumizi ya mifuko mbadala.  

Makamu wa Rais ameongeza kwamba ni vema kuhakikisha mifuko yote inayozalishwa inaonesha taarifa za mzalishaji na kama inakidhi viwango vilivyowekwa na mamlaka husika. Pia amesisitiza makampuni na watu binafsi wanaozalisha bidhaa za plastiki kuhakikisha taka zinazotokana na bidhaa zinazozalishwa zinakusanywa na kuondolewa.

Halikadhalika Makamu wa Rais amezitaka Mamlaka za Serikali za Mitaa kuhakikisha kampuni zinazopewa kazi ya kuzoa taka ziwe na uwezo kufanya kazi hizo kwa ufanisi. Amekemea utoaji wa tenda za uzoaji taka kwa kampuni zisizokuwa na uwezo na zile zisizo na vitendea kazi vya kisasa na kuzitaka Halmashauri kuweka miundombinu ya uhakika ya ukusanyaji na usombaji wa taka katika mitaa na maeneo ya mikusanyiko kama sokoni, stendi na hospitalini.

Aidha Dkt. Mpango ametoa wito kwa wananchi kutambua wajibu walionao katika kutunza vyanzo vya maji, kuacha mazoea ya kutupa taka hovyo na kuagiza kila kaya kuwa na sehemu mahsusi ya kuhifadhia ama kuchomea taka. Amesema masuala ya kufanya usafi na utunzaji mazingira hayana mbadala kwa kuwa mazingira ndio uhai na yana mahusiano ya moja kwa moja na ustawi wa Taifa kiuchumi na kijamii.

Kwa upande wake Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Dkt. Selemani Jafo,amesema suala la utunzaji na uhifadhi wa mazingira limeendelea kupewa kipaumbele hapa nchini ambapo kwa kutumia Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa kauli mbiu iliopo ni yenye lengo la kuhamasisha ajenda ya utunzaji wa mazingira na kutunza vyanzo vya maji.

Dkt Jafo amewapongeza wanafunzi kuanzia shule za msingi hadi vyuo vikuu kwa kujitoa kihifadhi mazingira ikiwemo kampeni ya soma na mti yenye lengo la kuhamasisha upandaji wa miti mashuleni. Halikadhalika amewashukuru wadau mbalimbali katika jitihada zao za kuhakikisha suala la mazingira linapewa kipaumbele kwa maendeleo endelevu.

Naye Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule amesema mkoa huo unaendelea na kampeni ya kudhibiti matumizi ya mifuko ya plastiki ambapo tayari kwa kushirikiana na NEMC waliweza kukifungia kiwanda kimoja kinachozalisha mifuko hiyo. Amesema elimu inaendelea kutolewa katika masoko na maeneo mbalimbali ili kuhakikisha wananchi wanaachana na matumizi ya mifuko hiyo.

Pia ameongeza kwamba Mkoa huo utaendelea na jitihada za kulinda vyanzo vya maji ikiwemo chanzo cha maji Mzakwe kwa kusimamia na kupanda miti katika eneo hilo muhimu. Amesema mkoa utaendeleza hamasa ya usafi wa mazingira iliofanyika katika wiki ya kuadhimisha siku ya mazingira duniani hususani usafi katika mifereji ya jiji la Dodoma.

Zoezi la kufanya usafi katika soko kuu la wamachinga mjini Dodoma limewashirikisha viongozi mbalimbali, wananchi na watumiaji wa soko hilo. Kauli mbiu ya Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani kwa mwaka 2023 inasema “Shinda uchafuzi wa mazingira unaotokana na taka za plastiki”

About the author

Alex Sonna