Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10 giriş

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

bets10

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

tarafbet

holiganbet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

bets10

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

Featured Kitaifa

WAZIRI MKENDA AZINDUA BARAZA JIPYA LA DIT

Written by Alex Sonna

Waziri Wa Elimu,Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amezindua Baraza jipya la Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) na kulitaka Baraza hilo pamoja na mambo mengine kuhakikisha linajenga mifumo ambayo itasaidia kujua aina ya nguvu kazi inayohitajika na waajiri ili iweze kuzalishwa chuoni hapo.

Akizungumza mara baada ya kuzindua baraza hilo Waziri Mkenda amesema mwelekeo wa Serikali kwa sasa ni kuhakikisha tunaongeza kasi ya uwekezaji hivyo ni vizuri kujenga mifumo hiyo na kuimarisha uhusiano na wanaohitaji taaluma za wahitimu kutoka DIT

“Kuna viwanda vipya vingi vinajengwa sasa hivi hasa Mkoa wa Pwani na nchi nzima, mwelekeo wa Serikali ni kuongeza uwekezaji sasa viwanda ambavyo vinajengwa ningeomba Baraza litusaidie kujenga mfumo ambao utatusaidia kujua vinahitaji nguvu kazi ya namna gani,”amesema Prof Mkenda.

Amesema moja ya changamoto iliyopo sasa ni wawekezaji kutopata nguvu kazi yenye ujuzi hivyo DIT fanyie kazi hilo na kama ikionekana hakuna wataalamu wa kutoa mafunzo hayo fuateni taratibu kupata wataalamu kutoka kwenye vyuo vya nje kuja kufundisha.

“Nendeni TIC angalieni nani wanajenga viwanda na wanajenga wapi aina gani ya viwanda vinajengwa wafuateni wahusika muwahoji baada ya kukamilisha wanahitaji nguvu kazi ya aina gani ili mtengeneze program hata kama ni za muda mfupi lengo ni kuwaandaa watanzania kwa ajili ya ajira ya aina hiyo,”amesema Prof. Mkenda

Akizungumzia upatikanaji wa vifaa vya kujifunzia Chuoni hapo Waziri Mkenda amelitaka Baraza hilo kuhakikisha linaimarisha upatikanaji wa vifaa vya kufundishia katika kakarana za chuo hicho.

“Miundombinu ni muhimu sana na itaendelea kuwa muhimu lakini tukienda kwenye miundombinu tunachukua muda sana, wanafunzi wakishaanza masomo ni kama mkono wa saa unatembea kwa hiyo hatutaki wakae hapa halafu vifaa vinachelewa. Ningependa mkaangalie huko duniani teknolojia kwa sasa ikoje akitolea mfano China na India ili karakana zetu ziwe na vifaa vya kutosha na sahihi kulingana programu za mafunzo na idadi ya wanafunzi,”ameongeza Prof Mkenda

Pia amelitaka Baraza kuhakikisha bunifu zinazozalishwa na DIT zinaendelezwa na kubiasharishwa ili Chuo kiendelee kuzalisha bunifu zaidi na ziwe na tija huku akiwataka kendelea kuimarisha mahusiano ya kimataifa ili wanafunzi wapate fursa za kusoma vyuo vya nje na kurejea lakini pia wahadhiri kubadilishana uzoefu.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa Baraza jipya la DIT Dkt. Richard Masika amesema baraza hilo ambalo ni la nane kwa Chuo hicho lina hamasa ya kufanya kazi na tayari limeshaanza kazi kwa kufanya ziara Kampasi ya DIT mwanza kuona maendeleo ya ujenzi wa miundombinu inayofadhiliwa na Mradi wa EASTRIP.

About the author

Alex Sonna