Featured Kitaifa

MATUKIO KATIKA PICHA WAZIRI MKUU AKIWA BUNGENI JIJINI DODOMA

Written by mzalendoeditor

 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Damas Ndumbaro, Bungeni jijini Dodoma

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa mambo ya Nje ya Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Stagomena Tax, Bungeni jijini Dodoma

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt. Angelina Mabula, Bungeni jijini Dodoma, Mei 30, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

mzalendoeditor