Featured Kitaifa

CHONGOLO ASHIRIKI IBADA YA JUMAPILI KATIKA KANISA KA EVENGELIST ASEMBLIES OF GOD MAFINGA

Written by mzalendoeditor

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Daniel Chongolo leo tarehe 28 Mei, 2023 ameshiriki ibada ya Jumapili katika kanisa la Evangelist Asemblies of god EAGT la Mafinga wilaya ya Mufindi mkoani Iringa .

 Katika ziara hiyo Katibu Mkuu Chongolo ameongozana pamoja na Wajumbe wawili wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambao ni Katibu wa NEC Oganaizesheni Ndugu Issa Haji Ussi Gavu na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndugu Sophia Mjema.

About the author

mzalendoeditor