Featured Kitaifa

PICHA – MAKAMU WA RAIS AKIONDOKA SHARM EL SHEIKH

Written by mzalendoeditor

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango leo tarehe 25 Mei 2023 akiondoka katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Sharm El Sheikh nchini Misri kurejea nchini Tanzania. Makamu wa Rais alimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Mwaka wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) uliofanyika katika mji wa Sharm El Sheikh.

About the author

mzalendoeditor