Featured Kitaifa

RAIS SAMIA AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI,IKULU CHAMWINO DODOMA

Written by mzalendoeditor

                                                              

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri tarehe 24 Mei, 2023 ikiwa ni Kikao cha kwanza kufanyika kwenye Ofisi mpya ya Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tangu kuzinduliwa kwa Jengo hilo Jumamosi tarehe 20 Mei, 2023.

About the author

mzalendoeditor