Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

grandpashabet

grandpashabet

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

jojobet güncel giriş

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

Featured Kitaifa

DC MKUDE AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA MAJI YA ZIWA VICTORIA MAGANZO

Written by Alex Sonna
Mkuu wa wilaya ya Kishapu Joseph Mkud (kulia) akiweka jiwe la msingi Mradi wa upanuzi wa maji ya Ziwa Victoria Maganzo – Masagala uliopo kata ya Maganzo wilaya Kishapu Mkoani Shinyanga.
 
 
Na Mwandishi wetu – Malunde 1 blog
 
Mkuu wa wilaya ya Kishapu Joseph Mkude ameweka jiwe la msingi kwenye ujenzi wa upanuzi mradi wa maji ya Ziwa Victoria Maganzo – Masagala uliopo kata ya Maganzo wilaya Kishapu Mkoani Shinyanga uliotekelezwa na Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) wilayani humo.
 
Zoezi hilo la uwekaji wa jiwe la msingi limefanyika leo Jumatano Mei 24, 2023 katika kijiji cha Masagala kata ya Maganzo wilayani humo.
 
Akisoma taarifa ya ujenzi wa mradi huo Meneja wa RUWASA wilaya ya Kishapu Mhandisi Dickson Kamazima amesema ujenzi wa 
Tanki kubwa lenye ujazo wa lita laki 100,000
 umegharimu kiasi cha shilingi milioni 616 fedha kutoka serikali kuu kupitia mfuko wa taifa wa maji (NWF) na kutarajia kuhudumia vijiji viwili vilivyopo kata ya Maganzo ambapo wananchi 2500  watanufaika na mradi huo.
 
“Ujenzi wa tanki hili uliogharimu kiasi cha shilingi milioni 616 katika mradi utakwenda kuhudumia vijiji viwili ambavyo ni kijiji cha Masagala na Maganzo.  Kukamilika kwa mradi huu itakuwa msaada mkubwa na kupunguza adha ya maji kwani utafikia jumla ya wakazi 2500 ambapo mpaka sasa ujenzi wa mradi huu umefikia asilimia 95, lengo la mradi huu ni kutoa huduma ya maji safi na salama kwa wananchi wa Maganzo – Masagala”, amesema Mhandisi Dickson Kamazima.
 
Mwenyekiti wa kijiji cha Masalaga Elias Masanja amesema uhaba wa upatikanaji wa maji kwenye kijiji cha Masagala iliwalazimu akina mama kuamka saa 10 alfajiri kwenda kutafuta maji lakini kwa sasa kukamilika kwa upanuzi wa maji ya Ziwa Victoria kwenye eneo hilo kutapunguza adha ya maji kwa wananchi.
 
“Uhitaji wa maji kwenye kijiji chetu cha Masagala ulikuwa ni mkubwa kutokana na uhaba wa visima vya maji na kupelekea akina mama kuamka saa 10 usiku kwenda kutafuta maji ambapo ilihatarisha maisha yao lakini kwa sasa watalala usingizi mnono, tunawapongeza na kuwashukuru RUWASA kwa kusogeza huduma hii ya maji, niwaombe maji haya yafike na vitongoji vingine”, amesema Elias Masanja.
 
Kwa upande wake diwani wa kata ya Maganzo Lwinzi Kidiga ameipongeza serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutoa fedha za ujenzi wa miradi kwenye maeneo mbalimbali hususa ni miradi ya maji inayoendelea kutekelezwa.
 
Naye Mkuu wa wilaya ya Kishapu Joseph Mkude mara baada ya kufungua mradi huo amewapongeza Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini ngazi ya mkoa na wilaya kwa utekelezaji wa miradi ya maji kikamilifu na kuwataka wananchi kuitunza miundombinu hiyo ili idumu kwa muda mrefu.
 
“Utunzaji wa miradi hii ni muhimu hivyo tuhakikishe tunatunza mazingira ya eneo hili la mradi, matanki na mabomba yake, lakini pia mradi huu utakua unajiendesha kupitia fedha mtakazo lipa, hivyo nitoe wito kwa wananchi kusogeza maji kwenye kaya zanu, hakuna haja ya kwenda kuchota maji kwenye magati”, amesema Joseph Mkude.
 
Wakati huo huo Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini RUWASA wilayani Kishapu wameendesha mkutano mkuu wa mwaka wa wadau wa maji wenye lengo la kujadili na kubadilishana uzoefu kuhusu masuala mbalimbali yanayohusu maji na usafi wa mazingira.
Meneja wa RUWASA wilaya ya kishapu Mhandisi Dickson akisoma taarifa ya ujenzi wa mradi huo.
Meneja RUWASA Mkoa wa Shinyanga Julieth Payovela akizungumza
Mwenyekiti wa kijiji cha Masalaga Elias Masanja  akizungumza baada ya zoezi la uwekaji wa jiwe la msingi kwenye mradi huo.
Diwani wa kata ya Maganzo Lwinzi Kidiga  akizungumza.
Mkuu wa wilaya ya Kishapu Joseph Mkude  akizungumza mara baada ya kuweka jiwe la msingi.
Mkuu wa wilaya ya Kishapu Joseph Mkud (kulia) akiweka jiwe la msingi Mradi wa upanuzi wa maji ya Ziwa Victoria Maganzo – Masagala uliopo kata ya Maganzo wilaya Kishapu Mkoani Shinyanga.
Mradi wa upanuzi wa maji ya Ziwa Victoria Maganzo – Masagala uliopo kata ya Maganzo wilaya Kishapu Mkoani Shinyanga.
Wadau wa maji wilayani Kishapu wakati wa mkutano mkuu na wadau wa maji wilayani Kishapu.
Meneja wa RUWASA wilaya ya kishapu Mhandisi Dickson akizungumza wakati wa mkutano na wadau wa maji wilayani Kishapu.
Meneja RUWASA Mkoa wa Shinyanga Julieth Payovela  wakati wa mkutano mkuu na wadau wa maji wilayani Kishapu.
Wadau wa maji wilayani Kishapu wakati wa mkutano mkuu na wadau wa maji wilayani Kishapu.
Mkuu wa wilaya ya Kishapu Joseph Mkude akizungumza wakati wa mkutano na wadau wa maji wilayani Kishapu.
Meneja RUWASA Mkoa wa Shinyanga Julieth Payovela  kushoto akiwa na Meneja RUWASA wilaya ya Kishapu  Dickson Kamazima wakati wa mkutano na wadau wa maji wilayani Kishapu.

About the author

Alex Sonna