Featured Kitaifa

BODABODA NA ABIRIA WAKE WAFARIKI KWA KUGONGA TRENI

Written by mzalendoeditor
Watu wawili wamefariki Dunia baada ya kugonga Treni kwenye makutano ya reli ya mwendo kasi (SGR) na reli ya kati mtaa wa Misongeni Kata Bigwa Manispaa ya Morogoro.
Kaimu afisa Uhusiano Hospital ya rufaa mkoa wa Morogoro Scholastic Ndunga amethibitisha kupokea miili ya watu wa wili waliotambulika kwa majina ya Mussa Jackson na Ellyson Kalugadi wote wakiwa na umri wa miaka 35.
Ajali hiyo imetokea majira ya saa 3 asubhi ambapo mashuhuda wa eneo hilo wanasema chanzo cha ajali ni vijawa hao kuesha pipi bila ya kuata sheria za barabarani.

About the author

mzalendoeditor