Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino giriş

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

holiganbet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

perabet

grandpashabet

tümbet güncel giriş

betsat

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

Featured Kitaifa

CCM YABAINI MAPUNGUFU MAKUBWA UJENZI WA MADARASA NA VYOO SHULE YA MSUFINI

Written by Alex Sonna
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Shinyanga Mjini , Mhe. Fue Mrindoko akikagua ujenzi wa matundu ya vyoo katika shule ya msingi Msufini kata ya Ndala Manispaa ya Shinyanga

Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog

Kamati ya Utekelezaji ya Jumuiya ya Wazazi Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Shinyanga Mjini imeeleza kusikitishwa na matofali yanayotumika kujenga vyumba vitatu vya madarasa na matundu matatu ya vyoo katika shule ya Msingi Msufini kata ya Ndala Manispaa ya Shinyanga kwamba ziko chini ya viwango.
Akizungumza wakati wa ziara ya kamati hiyo ikitembelea na kukagua ujenzi wa madarasa na matundu ya vyoo katika shule hiyo leo Jumamosi Mei 2023, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Wilaya ya Shinyanga Mjini Mhe. Fue Mrindoko amesema kamati hiyo imebaini matofali hayo hayana kiwango kwani mengine wameyaona yakiwa na matope/udongo unaopukutika.
 
“Matofali haya hayana kabisa kiwango na ujenzi unaendelea sasa hatuelewi next (baadaye) itakuwaje katika madarasa na vyoo hivi vinavyojengwa…si yatabomoka kabla ujenzi haujaisha??”, amesema Mrindoko.
 
“Kutokana na matofali haya kuwa chini ya kiwango tunaona kabisa tutajenga mara mbili…Niwaombe sana wanaohusika wafahamishwe haraka, haiwezekani matofali yapo chini ya kiwango namna hii halafu ujenzi unaendelea…Hayana kiwango kabisa, pembeni kuna saruji ndani kuna udongo unamong’onyoka kwa vidole…Kamati ya utekelezaji ya Jumuiya ya Wazazi CCM Shinyanga Mjini imeona Matofali haya haya kiwango kabisa, yaondolewe hatuwezi kujenga mara mbili”, ameongeza Mrindoko.
 
Mrindoko amewashukuru walimu wa shule hiyo kuona mapungufu ya matofali hao na kutoa taarifa mapema ili kuepuka majanga yanayoweza kujitokeza hapo baadaye.
 
“Tumesikitishwa kuona matofali haya yanayotumika yapo chini ya kiwango. Tunaziomba mamlaka zinazohusika zije kukagua ujenzi huu na kuangalia namna ya kurekebisha mapungufu yaliyojitokeza. CCM haiwezi kukubali fedha zinazotolewa na serikali zitumike vibaya”,ameongeza Katibu wa Jumuiya ya Wazazi CCM Wilaya ya Shinyanga Mjini, Doris Yotham Kibabi.
 
Akisoma taarifa ya ujenzi huo Mwalimu Mkuu msaidizi wa Shule ya Msingi Msufini kata ya Ndala , Godfrey Oscar Jebele amesema madarasa hayo matatu na matundu matatu ya vyoo yanajengwa kupitia mradi wa BOOST na umeanza Mei 15,2023 ukiwa na gharama ya shilingi 84,600,000 (Milioni 84.6).
 
“Changamoto iliyopo katika ujenzi huu ni kwamba mafundi wanalalamika kuwa tofali zinazotumika baadhi zinakuwa na changamoto kwani zinapukutika”,amesema Jebele.
 
Diwani wa kata ya Ndala Zamda Shaban amesema haiwezekani mradi huo uharibiwe hivyo atahakikisha changamoto hiyo inatatuliwa.
Wajumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya Jumuiya ya Wazazi Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Shinyanga Mjini wakiangalia matofali yanayotumika katika ujenzi wa vyumba vya madarasa na matundu ya vyoo katika shule ya msingi Msufini kata ya Ndala Manispaa ya Shinyanga leo Jumamosi Mei 20,2023. Picha na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Shinyanga Mjini , Mhe. Fue Mrindoko akiangalia matofali yanayotumika katika ujenzi wa vyumba vya madarasa na matundu ya vyoo katika shule ya msingi Msufini kata ya Ndala Manispaa ya Shinyanga

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Shinyanga Mjini , Mhe. Fue Mrindoko akizungumza katika shule ya msingi Msufini kata ya Ndala Manispaa ya Shinyanga
Matofali yanayotumika katika ujenzi wa madarasa na matundu ya vyoo katika shule ya msingi Msufini kata ya Ndala Manispaa ya Shinyanga.
Matofali yanayotumika katika ujenzi wa madarasa na matundu ya vyoo katika shule ya msingi Msufini kata ya Ndala Manispaa ya Shinyanga.
Matofali yanayotumika katika ujenzi wa madarasa na matundu ya vyoo katika shule ya msingi Msufini kata ya Ndala Manispaa ya Shinyanga.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Shinyanga Mjini , Mhe. Fue Mrindoko akikagua ujenzi wa matundu ya vyoo katika shule ya msingi Msufini kata ya Ndala Manispaa ya Shinyanga
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Shinyanga Mjini , Mhe. Fue Mrindoko akikagua ujenzi wa matundu ya vyoo katika shule ya msingi Msufini kata ya Ndala Manispaa ya Shinyanga
Wajumbe wa kamati ya utekelezaji Jumuiya ya Wazazi Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Shinyanga Mjini wakikagua ujenzi wa matundu ya vyoo katika shule ya msingi Msufini kata ya Ndala Manispaa ya Shinyanga

Ujenzi wa matundu ya vyoo katika shule ya msingi Msufini kata ya Ndala Manispaa ya Shinyanga ukiendelea
Diwani wa kata ya Ndala Zamda Shaban  akizungumza wakati Kamati ya Utekelezaji ya Jumuiya ya Wazazi Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Shinyanga Mjini ikifanya ziara kwenye kata hiyo
 Katibu wa Jumuiya ya Wazazi CCM Wilaya ya Shinyanga Mjini, Doris Yotham Kibabi akizungumza katika kata ya Ndala
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Shinyanga Mjini , Mhe. Fue Mrindoko akizungumza katika kata ya Ndala
Mwalimu Mkuu msaidizi wa Shule ya Msingi Msufini kata ya Ndala , Godfrey Oscar Jebele (kulia) akikabidhi taarifa ya ujenzi wa vyumba vya madarasa na matundu ya vyoo katika shule hiyo kwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Shinyanga Mjini , Mhe. Fue Mrindoko 
Ujenzi wa madarasa ukiendelea katika shule ya msingi Msufini kata ya Ndala Manispaa ya Shinyanga.
Ujenzi wa madarasa ukiendelea katika shule ya msingi Msufini kata ya Ndala Manispaa ya Shinyanga.

Wajumbe wa kamati ya utekelezaji Jumuiya ya Wazazi Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Shinyanga Mjini wakikagua ujenzi wa jengo la Ofisi ya CCM Kata ya Ndala

 Katibu wa Jumuiya ya Wazazi CCM Wilaya ya Shinyanga Mjini, Doris Yotham Kibabi akizungumza na wanachama na viongozi wa CCM kata ya Ndala
Katibu wa Jumuiya ya Wazazi CCM Wilaya ya Shinyanga Mjini, Doris Yotham Kibabi akizungumza na wanachama na viongozi wa CCM kata ya Ndala
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Shinyanga Mjini , Mhe. Fue Mrindoko akizungumza na wanachama na viongozi wa CCM kata ya Ndala

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Shinyanga Mjini , Mhe. Fue Mrindoko akizungumza na wanachama na viongozi wa CCM kata ya Ndala.
 
Picha na Kadama Malunde – Malunde 1 blog 

About the author

Alex Sonna