Featured Kitaifa

RAIS DK.MWINYI ATETA NA VIONGOZI WA CHAMA CHA ACT-WAZALENDO IKULU ZANZIBAR

Written by mzalendoeditor

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Viongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 18-5-2023 na (kulia kwa Rais) Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha ACT-Wazalendo ambae pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman na Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalenzo Mhe. Juma Duni Haji, na (kushoto kwa Rais) Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo Mhe. Zitto Kabwe.(Picha na Ikulu)

About the author

mzalendoeditor