Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

nitrobahis

mavibet giriş

cratosroyalbet giriş

mavibet

mavibet

mavibet giriş

mavibet

cratosroyalbet

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

betpark

Grandpashabet Güncel Giriş

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

bets10

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

dinimi sitiliri

Hacklink Panel

holiganbet

vdcasino giriş

bets10

piabellacasino

nerobet

cratosroyalbet

nitrobahis

mavibet giriş

mavibet

Meritking

meritking

สล็อตเว็บตรง

bets10

tarafbet

jojobet

holiganbet

jojobet

trust score weak 3

jojobet

meritbet giriş

tipobet

cratosroyalbet

mavibet

jojobet giriş

jojobet adres

jojobet giriş

jojobet telegram

marsbahis giriş

jojobet giriş

netbahis

sapanca bungalov

marsbahis

deneme bonusu veren siteler

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

deneme bonusu

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

hackhaber

grandpashabet

film izle

casibom

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

caddebet, caddebet giriş

betgar

betsat

grandpashabet

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

onwin

tarafbet

jojobet

casibom

bets10 güncel giriş adresi

bets10

jojobet

jojobet giriş

ilbet

hilbet

jojobet giriş

sweet bonanza siteleri

Ankara escort

kingroyal

güvenilir bahis siteleri

dizipal

vdcasino giriş

piabet

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

Google

casinoroyal

primebahis

marsbahis

turkey dental implants cost

Doctors | Akdeniz University Hospital Login

deneme bonusu veren siteler

casino siteleri

casibom

casibom giriş

dental implants turkey clinics

casibom güncel giriş

betflix giriş

turkey dental implants

deneme bonusu

wbahis

imajbet

grandpashabet

jojobet

casinowon

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

mavibet

marsbahis

marsbahis

marsbahis

meritking

meritking

marsbahis

meritking

jojobet

jojobet güncel

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet telegram

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

marsbahis

Hacklink panel

zirvebet

holiganbet

Google

meritking

holiganbet

jojobet adres

jojobet giris

jojobet giris

jojobet para çekme

jojobet güncel

jojobet giris

jojobet giris

jojobet

matbet

otobet

otobet giriş

betturkey

betturkey giriş

sahabet

marsbahis giriş

marsbahis giriş

truvabet

mavibet

mavibet

mavibet

Bet365 Giriş

betturkey

betturkey giriş

betflix

roketbet 2026

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

mavibet

piabellacasino

robinbet

tipobet

holiganbet

porno izle

bets10

porno izle

runtobet

runtobet giriş

1xbet

aresbet, aresbet giriş

betebet

jojobet

jojobet erişim

jojobet adres

jojobet para yatırma

jojobet giris

casibom güncel giriş

jojobet adres

jojobet oyunlar

jojobet güncel

jojobet giriş

jojobet son giriş

jojobet canlı bahis

jojobet aninda

jojobet bonuslar

jojobet bahis

jojobet casino

jojobet adres

jojobet telegram

giriş jojobet

marsbahis

jojobet giris

marsbahis

jojobet vip giriş

jojobet tik giriş

jojobet adres

jojobet gir

jojobet giris

güncel giriş burada jojobet

jojobet telegram

jojobet heyecan

jojobet telegram

jojobet güncel giriş

jojobet güncel

jojobet güncel

goldenbahis

coinbar

betcio, betcio giriş

galabet, galabet giriş

deneme bonusu

jojobet giriş

grandpashabet

gorabet

jojobet

https://sjconsultors.com/

mavibet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

starzbet

pusulabet

betbox

casibom

meritking giriş

meritking

dedektör

vdcasino

marsbahis

Featured Kitaifa

MAENDELEO YA JAMII YAWASILISHA VIPAUMBELE 10 BUNGENI

Written by Alex Sonna

 

WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wanawake na Makundi Maalumu,Dkt.Dorothy Gwajima ,akiwasilisha bajeti ya Wizara yake leo Mei 18,2023 bungeni,Jijini Dodoma.

Na.Bolgas Odilo_DODOMA

WIZARA ya Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wanawake na Makundi Maalumu,imewasilisha bajeti bungeni  huku ikitaja  vipaumbele 10 itakavyovitekeleza kwa mwaka 2023-2024.

Wizara hiyo inaliomba Bunge kuiidhinishia jumla ya zaidi ya Sh bilioni  74  ili kutekeleza majukumu yake kwa maendeleo na ustawi wa jamii.

Akiwasilisha bajeti hiyo  leo Mei 18,2023 bungeni,Jijini Dodoma, Waziri  wa Wizara hiyo,Dk Doroth Gwajima amevitaja vipaumbele hivyo ni kuratibu afua za kukuza usawa wa kijinsia na uwezeshaji wanawake kiuchumi (Generation Equality Forum – GEF).

“Kuratibu utekelezaji wa Mpango Kazi wa Taifa wa Kutokomeza Ukatili Dhidi ya Wanawake na Watoto (MTAKUWWA),kutekeleza Mpango wa Taifa wa Kuhamasisha na Kusimamia Maendeleo Ngazi ya Msingi wa mwaka 2022/23 – 2025/26 (Bottom Up),”amesema Dk Gwajima.

Amevitaja vipaumbele vingine ni kukuza ari ya jamii kushiriki katika kupanga na kutekeleza miradi ya maendeleo,kutambua na kuratibu Makundi Maalum wakiwemo wafanyabiashara ndogondogo ili kuboresha mazingira ya biashara zao.

“Kuboresha mazingira ya kufundisha na kujifunzia katika Taasisi ya Ustawi wa Jamii, Taasisi ya Maendeleo ya Jamii Tengeru na Vyuo vya Maendeleo ya Jamii,kuimarisha mifumo ya malezi, ulinzi na maendeleo ya watoto na familia,”amesema Waziri huyo

Vilevile kuratibu utoaji wa huduma za msingi kwa watu wenye mahitaji maalum ikiwemo huduma za msaada wa kisaikolojia kwa manusura wa majanga mbalimbali na makundi mengine yenye uhitaji katika jamii 109.

“Kuratibu na kuwezesha upatikanaji wa haki za watoto na huduma za ustawi wa jamii kwa wazee na kuimarisha utendaji kazi wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali,”amesema Waziri Gwajima.

KUTUMIA BILIONI 74 KUTEKELEZA VIPAUMBELE

Waziri Gwajima amesema katika kutekeleza vipaumbele hivyo  Wizara kwa mwaka 2023/24 imekadiria kutumia kiasi cha Shilingi Bilioni 74.2 zitakazotumika kutekeleza majukumu ya Wizara ikiwa ni pamoja na kuwezesha uendeshaji wa ofisi na utekelezaji wa miradi ya maendeleo.

Ameitaja baadhi maeneo  yaliyotengewa fedha kwa mwaka 2023/24 ni pamoja na Katika eneo la kukuza usawa wa kijinsia na uwezeshaji wanawake kiuchumi (Generation Equality Forum – GEF) ambapo kiasi cha shillingi bilioni 4.9 zimetengwa kwa ajili ya kuratibu shughuli hizo.

Amesema katika eneo la kutokomeza vitendo vya ukatili dhidi ya wanawake na watoto, kiasi cha Shilingi Bilioni 1.3 kimetengwa.

BILIONI 18 MIKOPO KWA MACHINGA

Amesema katika eneo la kutambua na kuratibu shughuli za kiuchumi za Makundi Maalum hususan wafanyabiashara ndogondogo wakiwemo machinga, mama/baba lishe, waendesha bodaboda na bajaji, kiasi cha Shilingi Bilioni 18.5 kimetengwa kwa ajili ya kutoa mikopo yenye masharti nafuu ili kuongeza mitaji na kuboresha shughuli zao za kiuchumi.

WATOTO

Amesema kwenye eneo la watoto, kiasi cha Shilingi Bilioni 3.6 kimetengwa kwa ajili ya kuwezesha utoaji wa huduma kwa watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi na marekebisho ya tabia kwa watoto waliokinzana na sharia.

“Kufuatilia utoaji wa huduma katika Makao ya Watoto, Nyumba Salama na Vituo vya Kulelea Watoto wadogo Mchana na Watoto Wachanga; Kukarabati Shule ya Maadilisho ya Irambo; Kukarabati Mahabusu za Watoto Upanga, Arusha, Mbeya, Moshi na Tanga; na Kukamilisha ujenzi wa Mahabusu ya Watoto Mwanza,”amesema Dk Gwajima.

WAZEE

Amesema katika eneo la wazee, Shilingi Bilioni 1.8 zimetengwa kwa ajili ya kuwezesha utoaji wa huduma za ustawi kwa wazee wasiojiweza katika Makazi ya Wazee 14 na ukarabati wa majengo na miundombinu 111 katika Makazi ya Misufini, Mwanzange, Ipuli na Bukumbi.

Waziri huyo amesema kwenye eneo la taasisi na Vyuo, kiasi cha Shilingi Bilioni 3.1 kimetengwa.

Amesema Fedha hizo ni kwa ajili ya ujenzi na ukarabati wa majengo na miundombinu katika Taasisi ya Maendeleo ya Jamii Tengeru, na Vyuo vitatu (3) vya Maendeleo ya Jamii vya Uyole, Monduli na Misungwi.

URATIBU WA NG’OS

Kwenye eneo la Uratibu wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali amesema  limetengewa kiasi cha Shilingi bilioni 2.6 kwa ajili ya ufuatiliaji wa Mashirika 1,000 katika Kanda Tano, kusajili Mashirika Yasiyo ya Kiserikali yapatayo 1,000.

Pia  kuandaa taarifa ya Mchango wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali kwa mwaka 2022, kuwezesha Mfumo wa Kielektroniki wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NIS), kuratibu utekelezaji wa Mkakati wa Kitaifa wa Uendelevu wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (2022/2023 – 2025/2026).

Vilevile  kuratibu Jukwaa la Mwaka la Mashirika Yasiyo ya Kiserikali na kuratibu Vikao vya Bodi ya Uratibu wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali.

MAENDELEO YA JAMII

Waziri Gwajima amesema eneo la maendeleo ya jamii limetengewa kiasi cha Shilingi Milioni 283.6 kwa ajili ya kutekeleza Kampeni.

“Kuamsha ari ya jamii kuhusu ujenzi wa nyumba bora za gharama nafuu kwa kutumia teknolojia rahisi na kutekeleza Mpango wa Taifa wa Kuhamasisha na Kusimamia Maendeleo Ngazi ya Msingi wa mwaka 2022/23 – 2025/26 (Bottom Up) katika Mikoa 26 ya Tanzania Bara,”amesema Waziri huyo.

Amesema katika eneo la ufuatiliaji na tathmini, kiasi cha Shilingi Milioni 200 kimetengwa ambapo  fedha hizo ni kwa ajili ya kufuatilia utekelezaji wa mipango, programu na miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika Taasisi, Vyuo na Vituo vya Ustawi wa Jamii vilivyo chini ya Wizara.

MAKUNDI MAALUM

Dk Gwajima amesema Wizara imeendelea kuratibu na kusimamia mipango na programu mbalimbali za kuwezesha na kuendeleza kiuchumi Makundi Maalum.

Amesema  makundi yanayolengwa ni Wafanyabiashara ndogondogo wakiwemo Machinga, Mama/Baba Lishe, Waendesha Bodaboda na Bajaji ambao hupata changamoto kuzifikia fursa zilizopo kujikwamua na kukua kiuchumi kutoka kwenye taasisi za fedha kwa kuwa hawatambuliwi rasmi na pia hawana dhamana za kuwawezesha kukopesheka kwenye taasisi hizo.

HAKI YA MAENDELEO YA MTOTO

Waziri huyo amesema Wizara inaendelea kuratibu na kusimamia utoaji wa haki za msingi kwa mtoto ikiwa ni pamoja na haki ya kuishi, kulindwa, kuendelezwa, kushiriki na kutobaguliwa.

Hata hivyo, baadhi ya watoto hawazipati haki hizo na hivyo wanakabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwemo vitendo vya ukatili katika familia na jamii.

“Nitoe wito kwa jamii kuendelea kujitokeza mbele ya vyombo vya utoaji haki kutoa ushahidi ili kesi zote zilizopo kwenye mnyororo wa haki jinai ziweze kufika mwisho na haki ipatikane,”amesema Dk Gwajima.

HUDUMA ZA USTAWI WA JAMII

Dk Gwajima amesema Wizara ina jukumu la kusimamia, kuratibu na kutoa huduma za ustawi wa jamii hapa nchini zikiwemo haki, matunzo na ulinzi kwa wazee, watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi, watoto wanaoishi na kufanya kazi mitaani.

Pia  watoto walio katika mkinzano na sheria, huduma kwa wahanga wa ukatili wa kijinsia na wahanga wa usafirishaji haramu wa binadamu, huduma za msaada wa kisaikolojia katika jamii, uratibu wa huduma za afya kwa makundi maalum.

Vilevile  huduma kwa familia duni, usajili na usimamizi wa makao na vituo na makao ya kulelea watoto nchini, uratibu wa huduma za malezi ya kambo na kuasili na utatuzi wa migogoro ya familia na ndoa.

Amesema Majukumu hayo yanatekelezwa na wataalam wa ustawi wa jamii kwa mujibu wa Sera, Sheria, Kanuni na Miongozo mahsusi inayoongoza utoaji wa huduma za ustawi wa jamii nchini.

“Natoa wito kwa jamii kuendelea kuwatumia wataalamu wa Ustawi wa Jamii katika ngazi zote pale wanapobaini mienendo mibaya ya tabia ya watoto katika maeneo wanayoishi ili wafanye ufuatiliaji kabla ya watoto hao kuingia katika hatari za kukinzana na sharia,”amesema  waziri huyo.

MAENDELEO YA WANAWAKE

Dk Gwajima amesema Wizara katika kukuza usawa na uwezeshaji wanawake, inatekeleza Programu ya Kitaifa ya Utekelezaji wa ahadi za Nchi kuhusu Jukwaa la Kizazi chenye Usawa 2021/22 – 2025/26 62 (Generation Equality Forum Commitments) ambalo Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni kinara wa utekelezaji wa eneo hilo.

Amesema utekelezaji wa programu hiyo unajumuisha afua za kuanzisha na kuendeleza vituo vya malezi na makuzi ya watoto, kuongeza uwekezaji katika usambazaji wa maji, umeme na nishati mbadala yenye kutunza mazingira na matumizi ya teknolojia yenye gharama nafuu na inayofaa katika kutatua changamoto za majukumu mengi kwa wanawake katika maeneo ya vijijini na mijini.

Pia, kuongeza kazi zenye staha kwa kuendeleza biashara na urasimishaji wa biashara za wanawake na kuboresha upatikanaji na matumizi ya teknolojia nafuu na zinazofaa ili kuongeza uwezo wa wanawake wa kuzalisha bidhaa zenye ushindani wa soko la ndani na nje.

About the author

Alex Sonna