Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

dedektör

vdcasino giriş

holiganbet

betsalvador

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

palacebet

ultrabet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

jojobet giriş

betebet

gonebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

doeda

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

casibom güncel giriş

casibom giriş

casibom

grandpashabet giriş

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

portobet

dinamobet giriş

casibom

casibom

casibom

casibom

jojobet

casibom

casibom

casibom

casibom

casibom

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

betsat

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

starzbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet

girne escort

magusa escort

dedebet

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

Featured Kitaifa

WAZIRI GWAJIMA AZINDUA BARAZA LA TAIFA LA UWEZESHAJI WANAWAKE KIUCHUMI

Written by Alex Sonna

 

Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. Dorothy Gwajima,akizungumza wakati akizindua rasmi Baraza la Taifa la Uwezeshaji wanawake kiuchumi lililofanyika leo Mei 17,2023 jijini Dodoma.

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii ,Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Wakili Amon Mpanju ,akizungumza wakati wa uzinduzi wa  Baraza la Taifa la Uwezeshaji wanawake kiuchumi lililofanyika leo Mei 17,2023 jijini Dodoma.

Mwakilishi wa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Serikali za Mitaa Steven Mutambi,akizungumza wakati wa uzinduzi wa  Baraza la Taifa la Uwezeshaji wanawake kiuchumi lililofanyika leo Mei 17,2023 jijini Dodoma.

Sehemu ya washiriki wakimsikiliza Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. Dorothy Gwajima (hayupo pichani) wakati akizindua rasmi Baraza la Taifa la Uwezeshaji wanawake kiuchumi lililofanyika leo Mei 17,2023 jijini Dodoma.

Na.Alex Sonna-DODOMA

Mamlaka za Serikali za Mitaa nchini zimehimizwa kuendelea kutoa fursa sawa kwa Wanawake na wanaume kushiriki nafasi za uongozi na maamuzi katika ngazi ya jamii na kuwa sehemu ya maamuzi kwa ustawi wa jamii na Taifa.

Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. Dorothy Gwajima ameyasema hayo Mei 17, 2023 wakati akizindua rasmi Baraza la Taifa la Uwezeshaji wanawake kiuchumi huku akiahidi ushirikiano wa Serikali kwa Baraza hilo katika kumkwamua mwanamke kiuchumi.

Waziri Dkt. Gwajima amewataka viongozi wa Jukwaa hilo kuhakikisha fursa zinazoibuliwa zinawafikia wanawake hasa waliopo vijijini na kuongeza kwamba Serikali itaendelea kuweka mazingira wezeshi hali itakayowasaidia kushiriki kwenye nafasi za uongozi.

“Jukwaa hili lihakikishe Wanawake wote wanaona na kupata fursa ya kujiunga na majukwaa yaliopo kuanzia ngazi ya kijiji/Mtaa, Kata, Wilaya hadi Taifa, ili yawawezeshe kupata sehemu ya kujadili mambo yao kuhusu ujasiriamali na biashara kwa ujumla”

Aidha, Dkt. Gwajima pia ametoa wito kwa Halmashauri za Wilaya/ Manispaa na Majiji kuendelea kutenga Fedha za Ndani ili kuwawezesha Wanawake,Vijana na Watu wenye ulemavu kukopa na hatimaye kuweza kujiendeleza kiuchumi.

Kwa upande wake Mwakilishi wa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Serikali za Mitaa Steven Mutambi,amesema wapo tayari kushirikiana na Baraza hilo hasa kwenye fursa za mikopo ambayo Serikali imeshatoa maelekezo ya mikopo yote kupitia benki kuanzia mwaka huu wa fedha.

Mutambi amewapongeza wanawake kwa kuwa mstari wa mbele kurejesha mikopo ya asilimia 10 ikilinganishwa na makundi mengine ambayo yamekuwa yakichechemea kurejesha.

Awali  Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii Wakili Amon Mpanju amebainisha kwamba mchakato wa uundaji wa Baraza hayo ulianza mwaka 2022 mara baada ya kuzinduliwa kwa Jukwaa la Kizazi chenye usawa bapo uchaguzi wa ngazi ya vijiji hadi mikoa uliendelea na kilicho fanyika leo nikukamilisha mchakato mzima wa kuwa kuwa na Baza la Taifa

“Tupo tayari kutekeleza wajibu wetu hasa jukumu la kisera la kuimarisha na kustawisha majukwaa ya iwezeshaji wanawake kiuchumi kwa kuzingatia miongozo uliotolewa na Wizara” amesema Mpanju.

Akitoa salaam shukrani kwa niaba ya wajumbe wa Baraza hilo, Mwenyekiti wa Jukwaa hilo Taifa Fatma Kange, amesema wanawake wa Tanzania wanaweza ,kinachotakiwa ni kuelimishwa na kuambiwa kuwa wao ni wajasiriamali.

About the author

Alex Sonna