Mmiliki wa ‘Le Mutuz’ Blog, William Malecela, maarufu kama Mr. Super Brands amefariki dunia leo Mei 14, 2023 jijini Dar es Salaam
Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na Msanii Steve Nyerere pamoja vyombo vya habari mbalimbali nchini ikiwemo chombo chake cha habari