Featured Michezo

BODABODA MBAGALA WAPOKEA VIFAA KUTOKA MERIDIANBET

Written by mzalendoeditor

 

 

Bodaboda kutoka Mbagala leo wamepokea msaada wa Vifaa kutoka kampuni ya Meridianbet leo kama Reflectors ambapo zitawasaidia katika shughuli zao za kila siku na hii ni katika kuhakikisha Bodaboda hao wanafanya kazi katika mazingira mazuri.

Meridianbet wamekua wakijitahidi kuhakikisha kila ambacho wamekua wakikipata ili kurudisha kwenye jamii yake ambayo imewazunguka, Ndicho ambacho wamekifanya kwa Bodaboda wa eneo la Mbagala kwani wamegawa Reflectors zitakazowasaidia Bodaboda hao. 

Mkuu wa kitengo cha cha mawasiliano na masoko Meridianbet bwana Matina Nkurlu alisema wamefurahi kufika Mbagala kutokana na mapokezi ambayo wameyapata eneo hilo hiyo ni baada ya kufanya jambo ambalo liliwapeleka eneo na sio jambo lingine bali ilikua mi kugawa Reflectors.  Meridianbet “CHAGUA TUKUPE”

Sub-Heading:

Pata mizunguko 50 ya bure kucheza sloti na michezo ya kasino ya mtandaoni ukijisajili na Meridianbet. Jisajili kupitia link hii

 Bwana Matina Nkurlu aliwaahidi Bodaboda wa eneo hilo kua ataweza kurejea tena Mbagala pamoja na timu yake kuhakikisha wanatoa tena msaada kama sio Reflectors basi itakua ni jambo lingine hiyo inatokana na kuvutiwa na ukarimu wa wakazi wa eneo hilo.

Endelea kutumia Meridianbet kubashiri mechi kali wikendi hii kama vile EPL, LALIGA, SERIE A, BUNDESLIGA na zingine nyingi ambazo zinatarajiwa kupigwa leo hii lakini pia, usisahau kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni ikiwemo, Avaitor, Sloti, Poker, Roulette na mingine ambayo itakuwa rahisi kwako kupiga mkwanja.

Pia Meridianbet imeleta mchongo wa  hela kila siku. Kuna hii bonasi ya ukaribisho kwa wateja wapya wote wanapata Tsh 25,000/= ya kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni. Ingia mchezoni www.meridianbet.co.tz

Basi nakwambiaje pesa zipo hapa Meridianbet kama hujajiunga huu ndio muda sasa ingia na uweze kupata hiyo bonasi na ubashiri mechi zako kadhaa unazoamini kuwa zitakupa ushindi ndani ya Mabingwa wa ODDS KUBWA.

 Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

Baada ya kupokea reflector hizo bodaboda wa eneo hilo waliishukuru Meridianbet kwa kuwatembelea na kuwapelekea vifaa hivyo kwani vitawasaidia wakiwa katika safari zao za kila siku na wamewapongeza kwa kutambua umuhimu wao kwenye jamii.

Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

NB: Habari njema kwako, Meridianbet imesikia ombi la wengi imekuja na Jackpot kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= PIGA *149*10#

#MERIDIANBET CHAGUA TUKUPE

About the author

mzalendoeditor