Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

betsat

pusulabet, pusulabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

grandpashabet

bets10

dinamobet giriş

ultrabet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

jojobet

casibom

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

nakitbahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

perabet

tipobet

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

Redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

Marmaris Tekne Turu

jojobet

tubidy

nakitbahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

casibom

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

casibom

Hacking Forum

holiganbet

Featured Kitaifa

KATAMBI:TUTAENDELEA KUWACHUKULIA HATUA WAAJIRI WASIOWAPA MIKATABA WAFANYAKAZI

Written by Alex Sonna

 

Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Patrobas Katambi akijibu swali Bungeni leo Mei 12, 2023, jijini Dodoma.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Prof. Joyce Ndalichako akijadili jambo na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi,Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Patrobas Katambi Bungeni jijini Dodoma leo tarehe 12 Mei, 2023.

Na.Mwandishi Wetu-DODOMA

OFISI ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu imeanza kufanya ukaguzi na kuwachukulia hatua waajiri wanaokwepa kuwapa mikataba wafanyakazi kwa kuwatumia kama vibarua ili kunyonya haki zao.

Naibu Waziri wa Ofisi hiyo, Mhe. Patrobas Katambi ameyasema hayo bungeni leo Mei 12, 2023 alipokuwa akijibu maswali ya nyongeza ya Mbunge wa Viti maalum (Chadema), Mhe. Sophia Mwakagenda.
Katika swali lake, Mbunge huyo amehoji serikali inatoa kauli gani kwa baadhi ya viwanda kwenye Mkoa wa Pwani maeneo ya Mbagala na Mkuranga vinavyowatumikisha wafanyakazi kuanzia saa mbili asubuhi hadi saa 11 jioni na kuwaa ujira wa Sh.4,000 kwa siku.

Akijibu maswali hayo, Naibu Waziri Katambi amesema serikali imebaini wapo waajiri wanakwepa kuwapa mikataba ya kazi wafanyakazi ili kuendelea kuwaita vibarua na kuendelea kufanya kazi kwa muda mrefu ni unyonyaji mkubwa.

“Ofisi ya Waziri Mkuu imeanza kuchukua hatua na tunafanya kaguzi kujua historia ya wafanyakazi wamefanya kazi kwa kipindi gani na aina ya kazi anayoifanya ili kuwaingiza kwenye mifumo ya kuwa na mikataba ya kazi ili haki zao zilindwe kwa mujibu wa sheria,”amesema.

Naibu Waziri huyo amesema katika sheria ya ajira na mahusiano kazini inaeleza moja ya mambo ni kukubaliana yawe kimkataba na yaandikwe na kuwekwa wazi na kitendo cha waajiri kutolipa mishahara au masilahi yao ni kuvunja sheria hiyo.

Katika swali la msingi, Mbunge huyo amehoji lini Serikali itahakikisha watanzania wanaofanya kazi kwenye kampuni za Kichina wanalipwa vizuri kwa mujibu wa sheria.

Akijibu swali hilo, Katambi amesema serikali imeendelea kusimamia utekelezaji wa Sheria za Kazi ili kulinda haki za wafanyakazi kupitia Bodi ya Kima cha Chini cha Mshahara katika Sekta Binafsi imefanya utafiti na kuboresha kima cha chini cha mshahara kwa sekta binafsi na tayari viwango vimetangazwa.

Amelihakikishia bunge kuwa ofisi hiyo itahakikisha waajiri wanatekeleza ipasavyo viwango vya mishahara vilivyotangazwa kwa kufanya kaguzi za mara kwa mara katika maeneo ya kazi na kutoa elimu kwa waajiri na wafanyakazi ili kujenga uelewa wao katika kutekeleza Sheria za kazi.

About the author

Alex Sonna