Featured Kitaifa

MATUKIO WAZIRI MKUU AKIWA BUNGENI DODOMA

Written by mzalendoeditor

 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Mlalo, Rashid Shangazi, bungeni jijini Dodoma, 

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Peramiho na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu, Jenista Mhagama, bungeni jijini Dodoma, 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum Zanzibar, Mwanahamisi Kassim, bungeni jijini Dodoma,

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Lushoto, Shabani Shekilindi. bungeni jijini Dodoma, Mei 2, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

mzalendoeditor