Featured Kitaifa

SEKTA YA UCHUKUZI YASHIRIKI MAADHIMISHO YA SHEREHE ZA MEI MOSI, JIJINI DODOMA

Written by mzalendoeditor

Watumishi wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi, (Sekta ya Uchukuzi) wakipita mbele ya Mgeni Rasmi, katika Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani-Mei Mosi 2023 yaliyofanyika katika Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma.

Watumishi wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi, (Sekta ya Uchukuzi) wakiwa katika Picha ya Pamoja katika Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani-Mei Mosi 2023 yaliyofanyika katika Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma.

About the author

mzalendoeditor