Rais wa Dkt. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi cheti na Sh. milioni tatu mfanyakazi bora wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Mose Melele huku Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishuhudia katika kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani ziliofanyika kwenye uwanja wa Jamhuri mjini, Morogoro, Mei 1, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)