Featured Michezo

SIMBA SC KWA MARA NYINGINE YASHINDWA KUTINGA NUSU FAINALI CAF

Written by mzalendoeditor

 

KWA Mara nyingine Simba SC imeshindwa KUTINGA hatua ya Nusu Fainali ya Klabu Bingwa Afrika baada ya kuondoshwa kwa Mikwaju ya Penalti 4_3 na Wydad Casablanca mchezo uliopigwa uwanja wa Mohamed  V nchini Morocco.

Katika  dakika 90 Simba SC ilifungwa bao 1_0 lililofungwa na Mshambuliaji Bouly Sambou dakika ya 24 na kufanya matokeo kuwa 1_1 kwani mchezo wa kwanza Simba ilishinda bao 1_0 uwanja wa Benjamin Mkapa  jijini Dar es Salaam.

About the author

mzalendoeditor