Featured Kitaifa

RC MNDEME AONGOZA MAADHIMISHO MIAKA 59 YA MUUNGANO SHINYANGA

Written by mzalendoeditor
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme akiwahutubia wananchi wakati wa Maadhimisho ya Miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme akiwahutubia wananchi wakati wa Maadhimisho ya Miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar leo Jumatano Aprili 26,2023 katika viwanja vya Zimamoto Mjini Shinyanga.

Maadhimisho ya miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar katika Mkoa wa Shinyanga yamefanyika leo Jumatano Aprili 26,2023 katika viwanja vya Zimamoto Mjini Shinyanga yakiongozwa na kauli ‘Miaka 59 ya Muungano, Umoja na Mshikamano ndiyo nguzo ya kukuza uchumi wetu’.

Mndeme amewataka wananchi kuuenzi Muungano kwa kudumisha Amani, upendo na mshikamano huku akisisitiza kuwa ili kuwaenzi waasisi wa Muungano Hayati Sheikh Abeid Amani Karume Rais wa kwanza wa Zanzibar, na Rais wa Tanganyika kwa wakati huo hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ni kuendelea kudumisha Amani.
“Muungano wetu umetuletea undugu, uzalendo, Amani, mshikamano na utulivu, hivyo ni vyema tukaendelea kuuenzi kwa kudumisha amani, upendo na mshikamano”, amesema Mndeme.
Amesema ndani ya miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar Mkoa wa Shinyanga umepiga hatua kubwa kimaendeleo ikiwamo Sekta ya Afya, Elimu, Maji, Nishati ya umeme pamoja na ujenzi wa miundombuni ya barabara.

Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme akiwahutubia wananchi wakati wa Maadhimisho ya Miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar leo Jumatano Aprili 26,2023 katika viwanja vya Zimamoto Mjini Shinyanga. Picha na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme akiwahutubia wananchi wakati wa Maadhimisho ya Miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar leo Jumatano Aprili 26,2023 katika viwanja vya Zimamoto Mjini Shinyanga.
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme akiwahutubia wananchi wakati wa Maadhimisho ya Miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar leo Jumatano Aprili 26,2023 katika viwanja vya Zimamoto Mjini Shinyanga.
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme akiwahutubia wananchi wakati wa Maadhimisho ya Miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar leo Jumatano Aprili 26,2023 katika viwanja vya Zimamoto Mjini Shinyanga.
Msanii wa nyimbo za asili Ntemi Omabala ‘Ng’wana Kang’wa’ akitoa burudani wakati wa Maadhimisho ya Miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar leo Jumatano Aprili 26,2023 katika viwanja vya Zimamoto Mjini Shinyanga.
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme na viongozi mbalimbali wakicheza wakati Msanii wa nyimbo za asili Ntemi Omabala ‘Ng’wana Kang’wa’ akitoa burudani kwenye Maadhimisho ya Miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar leo Jumatano Aprili 26,2023 katika viwanja vya Zimamoto Mjini Shinyanga.

Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme akimpa zawadi Msanii wa nyimbo za asili Ntemi Omabala ‘Ng’wana Kang’wa’ kwenye Maadhimisho ya Miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mhe. Johari Samizi akizungumza kwenye Maadhimisho ya Miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
Mkuu wa wilaya ya Kishapu Mhe. Joseph Mkude akizungumza kwenye Maadhimisho ya Miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
Mkuu wa wilaya ya Kahama Mhe. Mboni Mhita akizungumza kwenye Maadhimisho ya Miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
Katibu wa CCM Mkoa wa Shinyanga, Donald Magesa akizungumza kwenye Maadhimisho ya Miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
Katibu Tawala wa wilaya ya Shinyanga Boniphace Chambi akizungumza kwenye Maadhimisho ya Miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
Mbunge wa Ushetu Mhe. Emmanuel Cherehani akizungumza kwenye Maadhimisho ya Miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme akisalimiana na viongozi alipowasili katika viwanja vya zimamoto kwenye Maadhimisho ya Miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
Wananchi wakifuatilia matukio kwenye maadhimisho ya Miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
Kwaya ya Walimu Manispaa ya Shinyanga ikiendelea kwenye Maadhimisho ya Miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
Vijana wa Sarakasi wakitoa burudani kwenye Maadhimisho ya Miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
Vijana wa Sarakasi wakitoa burudani kwenye Maadhimisho ya Miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
Wacheza ngoma wakionesha Nyoka kwenye Maadhimisho ya Miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

About the author

mzalendoeditor