Featured Kitaifa

MKE WA RAIS ZANZIBAR ATEMBELEA VITUO VYA WATOTO

Written by mzalendoeditor

Mke wa Rais wa Zanzibar pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) Mhe.Mama Mariam Mwinyi (kulia) akimkabidhi zawadi Mkurugenzi wa Kijiji cha SOS Mombasa,Wilaya ya Magharibi “B”  Mkoa wa Mjini Magharibi Bi.Asha Salim Ali,alipofika katika kituo hicho kuwatembelea   Watoto, kuwapatia zawadi mbali mbali katika kusherehekea Sikukuu ya Eid el fitri jana.

Mke wa Rais wa Zanzibar pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) Mhe.Mama Mariam Mwinyi (kulia) akiwasalimia  baadhi ya Watoto  katika Kituo cha Watoto wenye maambukizo ya HIV Kwarara Wilaya ya Magharibi “B” alipofika kuwapatia zawadi mbali mbali katika kusherehekea Sikukuu ya Eid el fitri jana(katikati) Waziri wa Wizara ya  Ustawi wa jamii,Jinsia,Wanawake na Watoto Mhe.Riziki Pembe Juma  .

 Baadhi ya Watoto wenye maambukizo ya HIV wakimsikiliza Mke wa Rais wa  Zanzibar pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) Mhe.Mama Mariam Mwinyi (hayupo piochani) alipofika kuwatembelea jana pamoja na kuwapatia zawadi mbali mbali  katika kusherehekea Sikukuu ya Eid el fitri iliyoanza jana kitaifa. 

Mke wa Rais wa Zanzibar pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) Mhe.Mama Mariam Mwinyi (kulia) alipokuwa akitoa hutuba yake alipozungumza na Walezi na Watoto katika Kijiji cha SOS Mombasa,Wilaya ya Magharibi “B”  Mkoa wa Mjini Magharibi jana alipofika kuwatembelea pamoja na kuwapatia  zawadi mbali mbali (wa pili kulia) Waziri wa Wizara ya  Ustawi wa jamii,Jinsia,Wanawake na Watoto Mhe.Riziki Pembe Juma  katika kusherehekea Sikukuu ya Eid el fitri jana.

 Mke wa Rais wa Zanzibar pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) Mhe. Mama Mariam Mwinyi (katikati) akigawa zawadi kwa Watoto katika Kijiji cha SOS Mombasa,Wilaya ya magharibi “B”  Mkoa wa Mjini Magharibi katika kusherehekea Sikukuu ya Eid el fitri jana alipofanya ziara maalum ya kutembelea Vituo vya Watoto.

Mtoto wa Rais wa Zanzibar Bi.Jamila Huseein Mwinyi  akigawa zawadi kwa Watoto wakati alipoungana na Mke wa Rais wa Zanzibar pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) Mhe. Mama Mariam Mwinyi (hypo pichani) katika ziara yake ya kutembelea vituo vya Watoto jana katika kusherehekea Sikukuu ya Eid el Fitri.

Baadhi ya Watoto katika kituo cha Watoto Mazizini wakimsikiliza Mke wa Rais wa  Zanzibar pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) Mhe.Mama Mariam Mwinyi (hayupo piochani) alipofika kuwatembelea jana pamoja na kuwapatia zawadi mbali mbali  katika kusherehekea Sikukuu ya Eid el fitri iliyoanza jana kitaifa. 

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (katikati) akizungumza na walezi na watoto katika Kituo cha Watoto Mazizini Wilaya ya Magharibi “B” alipofika kuwapatia zawadi mbali mbali  katika kusherehekea Sikukuu ya Eid el fitri jana (kulia) Naibu  Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia Wazee na Watoto Mhe.Anna Athans Paul na Waziri wake Mhe.Riziki Pembe Juma (kushoto) Mkurugenzi Ustawi wa Jamii Wazee na Watoto  Ndg.Hassan Ibrahim Suleiman na Mkuu wa Wilaya Magharibi “B” Mhe.Bi.hamida Mussa Khamis.[Picha na Ikulu]

About the author

mzalendoeditor