Featured Kitaifa

RAIS ALHAJJ DK. MWINYI ATOA SADAKA YA MCHELE KWA AJILI YA WANANCHI TAFAUTI WA MAKUNDI MAALUM UNGUJA

Written by mzalendoeditor

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Sadaka ya Mchele Bw. Mwinyichande Haroun Mohammed, kwa ajili ya matumizi ya Sikukuu ya Eid Fitry, baada ya kumalizika kwa mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, hafla hiyo iliyofanyika katika bustani ya Msikiti wa Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 21-4-2023, na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Sheria,Katiba,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar.Mhe. Haroun Ali Suleiman.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Sadaka ya Mchele Bw. Silima Juma Chum, kwa ajili ya matumizi ya Sikukuu ya Eid Fitry, baada ya kumalizika kwa mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, hafla hiyo iliyofanyika katika bustani ya Msikiti wa Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 21-4-2023, na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Sheria,Katiba,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar.Mhe. Haroun Ali Suleiman.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Sadaka ya Mchele Bi.Tatu Mohammed Khamis, kwa ajili ya matumizi ya Sikukuu ya Eid Fitry, baada ya kumalizika kwa mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, hafla hiyo iliyofanyika katika bustani ya Msikiti wa Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 21-4-2023, na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Sheria,Katiba,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar.Mhe. Haroun Ali Suleiman.(

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kutowa shukrani zake kwa Wananchi wa Makundi tafauti mbalimbali,baada ya kuwakabidhi sadaka ya mchele kwa ajili ya Sikukuu ya Eid lfitry inayotarajiwa kufanyika kesho baada ya kumalizika kwa mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, hafla hiyo iliyofanyika katika bustani ya Msikiti Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 21-4-2023.(Picha na Ikulu)

About the author

mzalendoeditor