Featured Kitaifa

RAIS SAMIA AFUTURISHA VIONGOZI, WASANII NA MAKUNDI MBALIMBALI IKULU

Written by mzalendoeditor

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Ukumbi wa Kikwete kwa ajili ya Kufutarisha Viongozi pamoja na Makundi mbalimbali, Ikulu Jijini Dar es Salaam.

 

IMG_6785.jpeg

 Mahasimu wa jadi Simba na Yanga wakutana kwenye Futari Ikulu Jijini Dar es Salaam, wa kwanza kulia ni Rais wa Yanga Eng. Hersi Said, Mwenyekiti wa Bodi ya Simba Salim Abdallah (Try again) wa pili kutoka kulia pamoja na Mfadhili na Mdhamini wa Yanga Ghalib Said Mohamedwa pili kutoka kushoto wakiwa Ikulu Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya Futari iliyoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan. Wakwanza kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe. Edward Mpogolo

IMG_6786.jpeg

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifurahia jambo na Mama Janeth Magufuli

Viongozi mbalimbali, Wasanii, Wahariri wa vyombo vya Habari pamoja na Wageni wengine wakiwa kwenye ukumbi wa Kikwete kwa ajili ya Futari Ikulu Jijini Dar es Salaam. Futari hiyo iliandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan tarehe 15 Aprili 2023.

About the author

mzalendoeditor