Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10 giriş

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

tarafbet

spinco

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

Featured Kitaifa

MUONEKANO MPYA NGORONGORO WAVUTIA

Written by Alex Sonna

•Uoto wa asili, ikolojia vyaanza kurudi kwa kasi katika maeneo yaliyohamwa na wakazi
•Matumaini yazidi kuwa makubwa,

•Wadau watoa Ushauri

Baada ya baadhi ya wakazi wa maeneo ya Ngorongoro kuhamia Msomera Mkoani Tanga, Ikolojia na uoto wa asili vimenza kuejea kwa katika maeneo waliyobomoa makazi yao jambo linaloonyesha tija kubwa ya zoezi la Uhamaji Kwa hiyari

Wanahabari na wadau wa Kituo cha wanahabari watetezi wa Rasilimali na Taarifa (Mecira) Veronica Mheta na Dixon Busagaga walijionea mabadiliko makubwa tena ya muda mfupi walipotembelea kwenye baadhi ya zilipokuwa ambazo wamiliki wake waliamua kuhama Kwa hiyari kuhamia Msomera na kwengineko, maeneo hayo ni kwa aliyekuwa Mbunge wa Ngorongoro,Saning’o ole Telele na kwa Foible Lukumay wakazi wa kata ya Enduleni wilayani Ngorongoro na kwengineko katika eneo hilo .

“Kwa macho yangu nilijionea namna eneo hili lilivyokuwa limeathirika. Lakini Leo ninafurahi kuona ikolojia na uoto wa asili vimeanza kurejea kwa kasi kubwa sana” Amenukuliwa Mheta

“Nimeambiwa kuwa hapa pataota hata miti iliyokuweko awali na ikakatwa na wakazi waliokuwa wakiushi Ili kujenga Nyumba na maboma ya mifugo, Kwa kweli kuna tija kubwa sana kwenye zoezi la Uhamaji wa hiyari”. Aliongeza Busagaga
Miongoni mwa Sababu zilizopelekea wadau wa mazingira na watetezi wa haki za binaadamu kupaza sauti na kuitaka Serikali kutafuta utaratibu mpya wa kufanya Ngorongoro kuwa sehemu Salama kwa ajili ya Wanyama, Mifugo na binaadamu ni pamoja na;-

1.ONGEZEKO KUBWA LA WATU ambapo awali kulikuwa na Watu wasiozidi 8000 lakini sasa hivi wapo zaidi ya watu 120,000

2. ONGEZEKO KUBWA LA MIFUGO ambapo awali ilikuwa chini ya 50,000 lakini sasa hivi imevuka 1.1m

3. Miripuko ya magonjwa Kutokana na kuingiliana kulikopitiliza baina ya wanadamu, Wanyama na mifugo

4. Umasikini uliopitiliza ambapo ni asilimia 3 pekee ndio wanamiliki asilimia 80 ya mifugo yote 1.1m na hivyo kuwafanya wananchi MANAMBA

5. Kutokujua kusoma na kuandika ambapo zaidi ya asilimia 63 ya Wananchi wa Ngorongoro HAWAJUI KUSOMA NA KUANDIKA

6. Ongezeko kubwa sana la makazi(Nyumba) zisizoruhusiwa kisheria kujengwa hifadhini sambamba na ufungaji wa mitambo, umeme wa sola, nakadharika

hivyo kuifanya Serikali kuchukua hatua ya kuruhusu zoezi la Uhamaji wa hiyari kutoka hifadhini humo kwenda Msomera kwa atakayependa na kokote kule atakayetaka mtu anayehama yeye pamoja na mali zake zote ikiwemo mifugo.

About the author

Alex Sonna