Featured Kitaifa

WAZIRI MKUU AFUTURISHA BUNGE JIJINI DODOMA

Written by mzalendoeditor

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Tulia Ackson katika futari aliyowaandalia Waheshimiwa Wabunge na Watumishi wa Bunge kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma Aprili 12, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Tulia Ackson, akizungumza katika futari aliyowaandalia na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kwa Waheshimiwa Wabunge na Watumishi wa Bunge kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma Aprili 12, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Wabunge na Watumishi wa Bunge, wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwakatika futari aliyowaandalia Waheshimiwa Wabunge na Watumishi wa Bunge kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma Aprili 12, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza katika futari aliyowaandalia Waheshimiwa Wabunge na Watumishi wa Bunge kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma Aprili 12, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza katika futari aliyowaandalia Waheshimiwa Wabunge na Watumishi wa Bunge kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma Aprili 12, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

mzalendoeditor