Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

holiganbet

betsalvador

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz giriş

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

holiganbet

ultrabet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

imajbet

betebet

gonebet

piabet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

casibom

casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

casibom

betsat

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

bets10 giriş

dinamobet giriş

casibom

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

jojobet

ultrabet

casibom

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

capitolbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa haber

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

betsat

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet

girne escort

magusa escort

dedebet

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

starzbet

Featured Kitaifa

WATU 400 KUFANYIWA UPASUAJI WA MTOTO WA JICHO-MBARALI

Written by Alex Sonna

 

Kaimu Meneja Mpango wa Taifa wa huduma za Macho kutoka Wizara ya Afya, Dkt. Greater Mande akiongea na wagonjwa wenye matatizo ya macho kutoka vijiji mbalimbali vya wilaya ya Mbarali  waliofika kupata huduma za macho ikiwemo upasuaji wa mtoto wa jicho unaofanyika kwenye hospitali ya Wilaya ya Mbarali.

Daktari wa Macho akimfanyia upasuaji wa mtoto wa jicho mgonjwa katika chumba cha upasuaji kilichombo kwenye hospitali ya Wilaya ya Mbarali.

Wagonjwa waliofika kwenye kambi ya upasuaji wa mtoto wa jicho wakifanyiwa uchunguzi kabla ya kuingia kwenye chumba cha upasuaji.

Watoa huduma za macho wakiendelea kuwafanyia uchunguzi wagonjwa wenye matatizo ya macho waliofika kwenye kambi hiyo. Kambi ya upasuaji wa mtoto wa jicho unafanywa na madaktari kutoka hospitali ya Rufaa ya kanda-Mbeya na Hospitali ya Rufaa ya mkoa-Mbeya pamoja na wa hospitali ya Wilaya ya Mbarali kwa ufadhili wa Shirika la Hellen Keller International.

Upasuaji ukiendelea katika hospitali ya wilaya ya Mbarali ambapo jumla ya watu 400 wanatarajiwa kufikiwa kwa siku 10.

Na. Catherine Sungura-Mbarali

Zaidi ya watu 400 wenye matatizo ya macho kupatiwa matibabu ikiwemo ya upasuaji wa mtoto wa jicho katika kambi ya siku 10 itakayaofanyika kwenye hospitali ya wilaya ya Mbarali.

Kaimu Meneja wa Mpango wa Taifa wa huduma za Macho kutoka Wizara ya Afya Dkt. Greater Mande amesema kuwa kambi hiyo inayoendeshwa na Wizara ya Afya kupitia watoa huduma kutoka Hospitali ya Rufaa ya kanda-Mbeya na Hospitali ya Rufaa ya Mkoa-Mbeya kwa kushirikiana na Shirika la Hellen Keller International.

Amesema mradi huu wa upasuaji wa mtoto wa jicho utatekelezwa kwa muda wa mwaka mmoja wilayani hapa na mpaka kumalizika kwa mradi huu, watu wapatao 900 wanatarajiwa kufanyiwa upasuaji.

“Ulemavu wa kutokuona haukubaliki kwani zipo njia za kuzuia na kutibu zikiwemo za gharama nafuu, hivyo nawasihi wakazi wa Mbalali kujitokeza kwa wingi kwani huduma hizi tembezi zimewafikia na hazina gharama yeyote”.

Aidha, amesema Shirika hilo linatumia njia ya kuwaibua wagonjwa kwa kupita nyumba kwa nyumba kwa hatua ya awali na baadae kuwafikisha kwenye kituo cha kutolea huduma kwa ajili ya upasuaji.

Amesema dhamira ya Serikali ya Awamu wa Sita kwa kushirikiana na wadau wa huduma za macho nchini kwa kufuata vipaumbele vya Wizara ya Afya ni kuwafikia wananchi kwa ukaribu zaidi na hasa wale ambao wapo mbali kwa kutumia huduma tembezi kwani Serikali imeboresha miundombinu kwenye vituo vya kutolea huduma za afya.

Naye, Meneja Mradi wa Shirika la Hellen Keller International Bw. Athuman Tawakal amesema kambi hiyo ni ya kwanza katika wilaya ya Mbarali na wanatarajia kuwafikia watu takriban 900 kutoka vitongoji vyote.

Tawakal ameipongeza Serikali kwa kuboresha miundombinu katika hospitali za Wilaya ikiwemo “theater “na hivyo kurahisisha huduma za upasuaji kufanyika kwenye wilaya.

Wakati huo huo Mkazi wa kijiji cha Muungano Bi. Victoria Mronji ambaye amekuwa akisumbuliwa na matatizo ya mtoto wa jicho na kusababisha kutokuona kwa muda wa mwaka sasa ameishukuru Serikali kwa kuwasogezea huduma hizo karibu na bila gharama yeyote na kuahidi kuwa balozi mara baada ya kurudi kijijini kwao na kuwashauri watu wasisubiri hadi ugonjwa kuzidi hivyo kuwahi kufika kwenye kituo cha kutoa huduma za afya kupata matibabu.

About the author

Alex Sonna