marsbahis giriş

marsbahis giriş telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

meritking

Hacklink panel

Postegro

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

หวยออนไลน์

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

bets10

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

jojobet giriş

NervEase

escort sakarya

sakarya escort

izmit escort

betbey

imajbet

meritking giriş

ganobet

bets10 giriş

padişahbet

holiganbet

grandpashabet

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

romabet

marsbahis

royalbet

artemisbet

kavbet

parmabet

mislibet

imajbet giriş

artemisbet

imajbet

interbahis

kulisbet giriş

pusulabet giriş

betparibu, betparibu giriş

kulisbet, kulisbet giriş

bahiscasino, bahiscaasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

betebet

restbet

jojobet giriş

pokerklas

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

jojobet

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

holiganbet

holiganbet

pusulabet

holiganbet giriş

Nitric Boost

markajbet güncel giriş

betebet

gonebet, gonebet giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet giriş

dinamobet

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

netbahis

netbahis giriş

netbahis

netbahis giriş

sahabet

madridbet giriş

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

netbahis

netbahis giriş

betsat

betsat giriş

pokerklas

pokerklas giriş

holiganbet

kingroyal giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

kıbrıs escort

taksimbet

jojobet güncel giriş

xslot

xslot giriş

xslot

xslot giriş

bets10

bets10

bets10 giriş

Fixbet

jojobet

meritking

vdcasino

Featured Kitaifa

WIZARA YA ELIMU YATOA FURSA WATAHINIWA 337 WALIOFUTIWA MATOKEO KURUDIA MITIHANI

Written by Alex Sonna

WAZIRI wa Elimu,Sayansi na Teknolojia Prof Adolf Mkenda,akizungumza na waandishi wa habari leo Aprili 11,2023 jijini Dodoma kuhusu kutoa ruhusa ya wanafunzi 337 waliofutiwa matokeo kidato cha nne kurudia mitihani Mei 2,mwaka huu.

Na.Alex Sonna-DODOMA

WIZARA ya Elimu,Sayansi na Teknolojia imewaruhusu wanafunzi 337 waliofutiwa matokeo ya kidato cha nne kutokana na kufanya  udanganyifu na  kuandika matus kurudia tena mitihani hiyo Mei 2 mwaka huu.

Hayo yameelezwa leo Aprili 11,2023 jijini Dodoma na  Waziri wa Wizara hiyo,Prof Adolf Mkenda  wakati akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dodoma ambapo amesema  wamejadiliana na Baraza la Taifa la Mitihani (NECTA) ili kuona namna ya wanafunzi hao kufanya mtihani mapema kabla ya duru nyingine na suala hilo halitarudiwa tena.

“Nimeelekeza wanafunzi hao kama wakitaka wawasiliane na Baraza ili kufanya mtihani wa kidato cha nne na utatolewa wakati wa mtihani wa kidato cha sita ambao utaanza Mei 2 hadi 22, mwaka huu,”alisema.

Amesema matokeo yalivyotoka Baraza la Mitihani(NECTA)  liliwafutia   watahiniwa  337 wa kidato cha nne ambapo kati ya hao wanafunzi 333 walifutiwa kutokana na  sababu ya udanganyifu na wanawafunzi wanne  sababu ya kuandika matusi kwenye karatasi za majibu.

Amebainisha kuwa shule zilizofanya udanganyifu ambazo ni Twibhoki, Thaqaafa, shule ya Mnemonic Academy ya Zanzibar na Cornel zitaendelea kuwa chini ya uangalizi na serikali haiwezi kukubali kusajili shule kwenda kuwa kiwanda cha kuharibu mfumo wa elimu.

“Kati ya wanafunzi 333 ambao matokeo yao yalizuiliwa wanafunzi 206 wanatoka katika shule mbili tu ambazo ni Twibhoki mkoani Mara na Thaqaafa jijini Mwanza, takribani mbili ya tatu ya wanafunzi wote waliozuiliwa matokeo wanatoka katika shule hizi mbili,”alisema.

“Kwa kawaida matokeo yanapofungiwa watahiniwa sababu kama hizo  wanawez kuomba kufanya tena mtihani katika duru inayofuata kama watahiniwa binafsi,”amesema Prof. Mkenda.

Amesema kwa sababu hiyo wamefanya mazungumzo na Baraza la Mitihani ili kuona jinsi ambavyo wanafunzi hao wataweza kurudia kufanya mitihani kuanzia Mei 2 mwaka huu pamoja na wanafunzi wa kidato cha sita.

Aidha amesema kuwa  gharama za uendeshaji wa mtihani huo zitakuwa ndogo na kama ingeendeshwa nje ya utaratibu huo ingegharimu serikali zaidi ya Sh.Bilioni moja.

“Wasimamizi wa mitihani watakuwa wale wale wa kidato cha sita na watafanya kwa utaratibu utakaowekwa na utafungwa kwenda kusahihishwa.Hii ni mara ya mwisho kufanya hivi hatuwezi kuingiza nchi kwenye gharama hizi,”amesema Prof.Mkenda

“Naamini itakuwa mara ya mwisho nataka wazazi wajue wala hailipi kushinikiza udanganyifu na watu wapewe fedha waliohusika  kuwadanganya watoto wetu walaaniwe,”amesema Prof.Mkenda

Waziri Mkenda amesema wizi wa mihani una madhara makubwa  kwani hawawatendei haki watahiniwa ambao hawajaoneshwa mitihani.

“Nasema hivi ili wazazi walimu na watanzania tuwe imara kukemea jambo hili na tuwe  shupavu kupambana bila kulegalega.Ni suala la haki kuhakikisha watahiniwa wote wanafanya mitihani katika mazingira sawa hakuna ambaye anaruhusiwa kuona mtihani au kuingia na majibu,”amesema .

Amesema wizi wa mtihani unafundisha vijana wizi na utovu wa maadili kwani kwa sasa watu wengi wanazungumzia suala la malezi na maadili kushuka,

“Fikiria unaenda kutibiwa na Dakatari ambaye amepita kwa kuoneshwa mitihani una uhakika kweli utahudumiwa vizuri au rubani ambaye hakufaulu kwa haki, tutakapoanza kuruhusu tutakuwa tunaharibu  mfumo wa elimu,”amesema

Prof Mkenda amesema kufutiwa kwa matokeo  kwa vijana hao ni jambo  ambalo linatia  uchungu na hawafurahii watoto kukaa nyumbani hasa mabinti.

“Kinachoumia katika wanafunzi hao 2.3 wanatoka katika shule ambazo zilikuwa zimewekwa katika mfumo wa udanganyifu wapende wasipende,aliyekataa alichapwa na mwalimu

“Kuna shule mmiliki wa shule alilipa askari,kuna wanafunzi wengi wameingia katika mkumbo kunakuwa na tamaaa ya kufanya vizuri wanakuwa na uwezo lakini wameingia  katika mkumbo,”amesema wa

Amesema shule ambazo zinazoonekana kufanya udanganyifu wanaziweka chini ya uangalizi kwani hawawezi kukubali kusajili shule ambazo ni kiwanda cha udanganyifu na kuharibu mfumo wa elimu.

Amesema wapo tayari kufuta shule ambazo zitahusika katika udanganyifu na mtihani wa kidato cha sita unaotarajiwa kuanza  Mei 2 mwaka huu.

“Wale wanaopanga kufanya udanganyifu naomba niwaambie hatutaki udangayifu  ipo shule moja wanafunzi wamepewa wafanye mtihani wale wa juu ya darasa,Shule ambazo zimehusika natuma salama kwa wazazi mna taarifa shule zipo chini ya uangalizi kwanini umepeleke mwanao kwani shule ni hizo tu,”amesema

Amesema kesi zipo mahakamani za watu waliohusika na wizi wa mtihani ambapo amedai wanazifuatilia na mashtaka yanaendeshwa  vizuri ili stahiki zichukuliwe.

“Wale wote waliohusika wachukuliwe hatua kwa sabahu hawa wangefanya kazi zao vizuri sisi tusingekuwa na kazi tena ya kuokoa vijana wetu,”amesema

Hata hivyo Prof Mkenda ameziagiza kamati za mitihani za mikoa kuongeza umakini hasa Mwanza Mara na Shinyanga ijipange vizuri kuhakikisha makosa hayo hayajitokezi tena.

About the author

Alex Sonna