Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

aresbet

betcool

avrupabet

vipslot

betcool

realbahis

betmarino

betpuan

Hacklink panel

holiganbet

jojobet

Google

holiganbet

kingroyal

luxbet

betmarino giriş

kareasbet

gobahis giriş

betcool giriş

betnis giriş

elitbahis giriş

luxbet

primebahis

betturkey

betturkey giriş

betturkey

betturkey giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

coinbar

grandpashabet

grandpashabet

betpark giriş

betpark

betpark

uyuşturucu satın al

betpark giriş

runtobet

runtobet giriş

1xbet

marsbahis, marsbahis giriş

gameofbet

jojobet

hepbet giriş

betmarino

parmabet

avrupabet giriş

hepbet

hazbet giriş

gobahis

betnis

parmabet

realbahis

luxbet giriş

hazbet

aresbet giriş

betlivo

betface

betlivo giriş

betra giriş

gallerbahis

marsbahis güncel giriş 2026

parmabet giriş

kareasbet

casival giriş

celtabet

celtabet giriş

vipslot giriş

lordcasino

realbahis giriş

betface giriş

millibahis

lordcasino giriş

aresbet

vipslot

elitbahis

bungalov kiralama

kiralık bungalov

alobet, alobet giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

royalbet

pasacasino

kingroyal

https://sjconsultors.com/

artemisbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

mariobet

Madridbet

betbox

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

meritbet giriş

slot siteleri

meritbet

jojobet güncel giriş

jojobet

betpark

bets10

jojobet

holiganbet

sweet bonanza

mavibet

coinbar giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

timebet

jojobet giriş

sapanca bungalov kiralama

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

celtabet

millibahis

lordcasino

casival

mavibet giriş

betlike giriş

coinbar

coinbar

artemisbet

mavibet

artemisbet giriş

mavibet

artemisbet giriş

betlike

mavibet giriş

coinbar giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

jojobet

meritking

betsat

matbet, matbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betpark giriş

bets10 sorunsuz giriş

dinamobet

casibom

casibom

ultrabet

casibom

casibom

casibom

grandpashabet

ultrabet

grandpashabet

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

betmarino

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

meritking

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

imajbet

imajbet

Featured Kitaifa

MAKAMU WA RAIS AKAGUA SHAMBA LA MIFUGO MABUKI NA KITUO ATAMIZI

Written by Alex Sonna
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akizungumza na viongozi wa sekta mifugo pamoja na vijana wanaoshiriki mpango wa mafunzo ya ujasirimali kupitia sekta ya mifugo katika Kituo Atamizi cha Mabuki kinachotumika kunenepesha ng’ombe wa nyama kilichopo Misungwi mkoani Mwanza leo tarehe 11 Aprili 2023.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Waziri wa Mifugo na Uvuvi Abdallah Ulega mara baada ya kuwasili katika Kituo Atamizi cha Mabuki kinachotumika kunenepesha ng’ombe wa nyama kilichopo Misungwi mkoani Mwanza leo tarehe 11 Aprili 2023.


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akikagua maendeleo ya Kituo Atamizi cha Mabuki kinachotumika kunenepesha ng’ombe wa nyama pamoja na mpango wa mafunzo ya ujasiriamali kupitia sekta ya mifugo kilichopo Misungwi mkoani Mwanza leo tarehe 11 Aprili 2023.


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akisikiliza maelezo kutoka kwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi Abdallah Ulega wakati akikagua maendeleo ya Shamba la Mifugo Mabuki mara baada ya Serikali ya Awamu ya Sita kupeleka Ng’ombe aina ya Mitamba 500 katika Shamba hilo. Tarehe 11 Aprili 2023.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango ameiagiza Wizara ya Mifugo na Uvuvi kuhakikisha wanaweka utaratibu maalumu wa maafisa mifugo kuanzia ngazi ya kata kuwatambua wafugaji na idadi ya mifugo yao ili kuboresha huduma za ugani na kuongeza tija ya mifugo katika Taifa.

Makamu wa Rais amesema hayo leo tarehe 11 Aprili 2023 alipotembelea shamba la mifugo la mabuki na Kituo Atamizi cha Mabuki kinachotumika kunenepesha ng’ombe wa nyama pamoja na mpango wa mafunzo ya ujasiriamali kupitia sekta ya mifugo kilichopo Misungwi mkoani Mwanza.

Amesema ni wakati sasa wa kuhakikisha mifugo mingi iliopo nchini inapata thamani kwa kukuzwa katika ubora unaohitajika na hivyo kuweza kupata masoko nje ya nchi. Ameongeza kwamba sekta ya mifugo ni fursa kwa vijana na taifa kwa ujumla hivyo ameagiza kudhibitiwa uvamizi katika eneo la Shamba la Mifugo la Mabuki ambalo ni la kimkakati linalotumika kubadilisha sekta ya mifugo nchini.

Akizungumza katika kituo atamizi cha mabuki ambacho kinatumika kunenepesha ng’ombe wa nyama pamoja na mpango wa mafunzo ya ujasiriamali kupitia sekta ya mifugo, Makamu wa Rais ametoa rai kwa wanafunzi na walimu katika vyuo vya kilimo na mifugo hapa nchini kuongeza jitihada katika kutekeleza kwa vitendo kile wanachojifunza na kufundisha. Amesema wahitimu na wakufunzi katika sekta ya mifugo wanapswa kuwa mstari wa mbele ili kuongeza tija ya haraka katika sekta hiyo.

Ameongeza kwamba kituo hicho atamizi ni chachu ya mabadiliko katika sekta ya mifugo kitakachosaidia kuondokana na changamoto ya mauzo hafifu ya nyama nje ya nchi licha ya uwepo wa wingi wa mifugo hapa nchini.

Kwa upande wake Waziri wa Mifugo na Uvuvi Abdallah Ulega amesema wizara hiyo imejiwekea malengo ya kuhakikisha inatekeleza mazoezi ya kitaifa kama vile chanjo kwa mifugo pamoja na kuwatumia vema maafisa mifugo na vitendea kazi walivyopewa ili viweze kutumika kwa malengo yaliokusudiwa.

Waziri Ulega ameongeza kwamba Wizara ya Mifugo na Uvuvi imeanza kutekeleza afua ambazo zinatoa mwelekeo mpya wa sekta ya mifugo ili kukabiliana na changamoto zilizopo ikiwemo kuimarisha shughuli za utafiti na mafunzo,kuimarisha biashara na masoko ya mifugo na mazao yake pamoja na upatikanaji wa malisho na maji kwaajili ya mifugo.

Jumla ya ng’ombe 500 aina ya mitamba wamenunuliwa na Serikali ya Awamu ya Sita na kukabidhiwa katika shamba hilo. Shamba la kuzalisha mifugo la Mabuki linamilikiwa na Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi lilianzishwa mwaka 1967 kwa dhumuni la kuzalisha na kusambaza mitamba bora ya ng’ombe wa maziwa kwa wafugaji kwa bei nafuu ili kuwaongezea kipato na kupunguza umasikini kwa jamii

About the author

Alex Sonna