WAWAKILISHI Pekee katika Michuano ya Klabu Bingwa Barani Afrika Timu ya Simba SC imepangwa kucheza na Wydad Casablanca kutoka nchini Morocco hatua Robo Fainali ya Michuano hiyo na wataanzia uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam.
RATIBA KAMILI
Mamelodi Sundowns vs CR Belouizdad
Espérance Sportive de Tunis vs
JS Kabylie
Wydad Casablanca vs Simba SC
Raja Casablanca vs Al Ahly SC