Featured Kitaifa

MAJALIWA AZINDUA MBIO ZA MWENGE WA UHURU KITAIFA, MTWARA

Written by mzalendoeditor

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwasha Mwenge wa Uhuru, wakati alipozindua Mbio za Mwenge huo kitaifa kwa mwaka 2023 katika uwanja wa CCM Nangwanda Sijaona mkoani Mtwara, Aprili Mosi , 2023. Katikati ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Prof. Joyce Ndalichako, Katibu Mkuu Ofisi wa Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Prof. Jamali Katundu na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Kanali Ahmed Abbas Ahmed

 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimkabidhi Mwenge wa Uhuru Kiongozi wa mbio hizo , Abdallah  Shaib Kaim, wakati alipozindua Mbio za Mwenge huo Kitaifa kwa mwaka 2023, katika uwanja wa CCM Nangwanda Sijaona mkoani Mtwara

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi wa Mtwara wakati alipozindua Mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka 2023 katika uwanja wa CCM Nangwanda Sijaona mkoani Mtwara, Aprili Mosi, 2023 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

mzalendoeditor