marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

marsbahis giriş

NervEase

sapanca escort

sapanca escort

escort sapanca

holiganbet

grandpashabet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

betnano

pusulabet giriş

jojobet

grandpashabet

dizipal

1xbet giriş

1xbet

palacebet

madridbet

marsbahis

imajbet giriş

interbahis

klasbahis

piabellacasino

piabellacasino

piabellacasino

goldenbahis

jojobet

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

pusulabet, pusulabet giriş

betgar, betgar giriş

kulisbet, kulisbet giriş

alobet, alobet giriş

holiganbet

restbet

bets10

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

timebet

trimology review

holiganbet

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet giriş

holiganbet

jojobet

holiganbet

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

kingroyal

dinamobet giriş

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

tipobet

Pusulabet

grandpashabet giriş

Jojobet

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet

ilbet giriş

ilbet

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

deneme bonusu veren siteler

superbetin

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

bets10

bets10 giriş

zirvebet

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

İkimisli

onwin

süperbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

bets10

casibom giriş

jokerbet

jokerbet giriş

imajbet

imajbet giriş

interbahis giriş

imajbet

matbet

savoybetting

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

istanbul escort

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

betsat

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

porno izle

Hacklink Panel

teosbet

vdcasino

bets10 giriş

interbahis

goldenbahis

imajbet

interbahis giriş

klasbahis

interbahis giriş

kralbet giriş

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

timebet giriş

jojobet

holiganbet

bets10

trust score weak 3

holiganbet

slot siteler

deneme bonusu 2026

imajbet

imajbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

casibom

netbahis

1xbet giriş

marsbahis giriş

deneme bonusu

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu veren siteler

ilbet

ilbet giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

sekabet giriş

hackhaber

marsbahis

deneme bonusu veren siteler

primebahis

alobet, alobet giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

madridbet

bets10

ilbet

ilbet giriş

deneme bonusu veren siteler

meritking

royalbet

tarafbet

casino siteleri

bets10 güncel giriş adresi

betsat

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

deneme bonusu

jojobet giriş

padişahbet

Ankara escort

Marsbahis - Marsbahis Giriş

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino

mavibet

kulisbet, kulisbet giriş

meritking

betoffice

norabahis

betasus

padişahbet

Google Search Console giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

casibom

holiganbet

dental implants turkey

holiganbet giriş

dental implants turkey

full mouth dental implants turkey

casibom

Featured Kitaifa

NYARAKA ZA MPANGO WA USIMAMIZI WA KUKABILIANA NA MAAFA KINONDONI WAZINDULIWA

Written by Alex Sonna
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe.Saad Mtambule akizindua nyaraka za Mpango wa Usimamizi na Mpango Mkakati wa namna ambavyo watakabiliana na Majanga na Maafa leo Machi 31,2023 Jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe.Saad Mtambule akizindua nyaraka za Mpango wa Usimamizi na Mpango Mkakati wa namna ambavyo watakabiliana na Majanga na Maafa leo Machi 31,2023 Jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe.Saad Mtambule akionesha baadhi nyaraka za Mpango wa Usimamizi na Mpango Mkakati wa namna ambavyo watakabiliana na Majanga na Maafa mara baada ya kuzindua nyaraka hizo leo Machi 31,2023 Jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe.Saad Mtambule akimkabidhi Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni Mhe.Songoro Mnyonge nyaraka za Mpango wa Usimamizi na Mpango Mkakati wa namna ambavyo watakabiliana na Majanga na Maafa mara baada ya kuzindua nyaraka hizo leo Machi 31,2023 Jijini Dar es Salaam.
 
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe.Saad Mtambule akimkabidhi Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni Bi.Hanifa Hamza nyaraka za Mpango wa Usimamizi na Mpango Mkakati wa namna ambavyo watakabiliana na Majanga na Maafa mara baada ya kuzindua nyaraka hizo leo Machi 31,2023 Jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe.Saad Mtambule akimkabidhi Afisa wa Jeshi la Zimamoto Wilaya ya Kinondoni nyaraka za Mpango wa Usimamizi na Mpango Mkakati wa namna ambavyo Watakabiliana na Majanga na Maafa mara baada ya kuzindua nyaraka hizo leo Machi 31,2023 Jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe.Saad Mtambule akikabidhi nyaraka za Mpango wa Usimamizi na Mpango Mkakati wa namna ambavyo Watakabiliana na Majanga na Maafa kwa Akari wa Polisi Wilaya ya Kinondoni leo Machi 31,2023 Jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe.Saad Mtambule akikabidhi nyaraka za Mpango wa Usimamizi na Mpango Mkakati wa namna ambavyo Watakabiliana na Majanga na Maafa kwa Mwakilishi kutoka Red Cross Wilaya ya Kinondoni leo Machi 31,2023 Jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe.Saad Mtambule akizungumza katika hafla ya uzinduzi na kukabidhi nyaraka za Mpango wa Usimamizi na Mpango Mkakati wa namna ambavyo Watakabiliana na Majanga na Maafa leo Machi 31,2023 Jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe.Saad Mtambule akizungumza katika hafla ya uzinduzi na kukabidhi nyaraka za Mpango wa Usimamizi na Mpango Mkakati wa namna ambavyo Watakabiliana na Majanga na Maafa leo Machi 31,2023 Jijini Dar es Salaam.
Mwakilishi kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu Bi.Triningile Mwakalukwa
akizungumza katika hafla ya uzinduzi na kukabidhi nyaraka za Mpango wa Usimamizi na Mpango Mkakati wa namna ambavyo Watakabiliana na Majanga na Maafa leo Machi 31,2023 Jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni Bi.Hanifa Hamza akizungumza katika hafla ya uzinduzi na kukabidhi nyaraka za Mpango wa Usimamizi na Mpango Mkakati wa namna ambavyo Watakabiliana na Majanga na Maafa leo Machi 31,2023 Jijini Dar es Salaam.
Mratibu wa Masuala ya Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu , Bi.Winfrida Ngowi akizungumza katika hafla ya uzinduzi na kukabidhi nyaraka za Mpango wa Usimamizi na Mpango Mkakati wa namna ambavyo Watakabiliana na Majanga na Maafa leo Machi 31,2023 Jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wadau wa masuala ya Maafa katika Wilaya ya Kinondoni wakiwa katika hafla ya uzinduzi na makabidhiano ya za Mpango wa Usimamizi na Mpango Mkakati wa namna ambavyo Watakabiliana na Majanga na Maafa leo Machi 31,2023 Jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe.Saad Mtambule akiwa kwenye picha ya pamoja na wadau wa masuala ya maafa katika Wilaya ya Kinondoni mara baada ya kuzindua kukabidhi nyaraka za Mpango wa Usimamizi na Mpango Mkakati wa namna ambavyo Watakabiliana na Majanga na Maafa leo Machi 31,2023 Jijini Dar es Salaam.
 
 
(PICHA ZOTE NA EMMANUEL MBATILO)
 
 
***********
 
 
NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM
 
 
MKUU wa Wilaya ya Kinondoni Mhe.Saad Mtambule amezindua na kukabidhi nyaraka za Mpango wa Usimamizi na Mpango Mkakati wa namna ambavyo Watakabiliana na Majanga na Maafa kwenye Wilaya ya Kinondoni.
 
 
Akizungumza mara baada ya kuzindua na kukabidhi nyaraka hizo leo Machi 31,2023 Jijini Dar es Salaam, Mhe.Mtambule amesema yale yaliyobainishwa kwenye nyaraka hizo ni majanga ya kweli, ni majanga ambayo tunaishi nayo na yamekuwa yakitokea mara kwa mara.
 
 
Amesema kuna wajibu wa kusoma nyaraka hizo kwa wale wote waliokabidhiwa na baadae kuchukua hatua za utekelezaji wa mipango ambayo wameiandaa kukabiliana na maafa na majanga mbalimbali katika Wilaya hiyo.
 
 
Pamoja na hayo amewataka wadau wa afya pamoja akiwemo Mganga Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni kuhakikisha wanafuatiliana kuhamasisha usafi wa mazingira pamoja na kuhamasisha watu wakae kwenye maeneo bila kutiririsha maji machafu.
 
 
Kwa upande wake Mratibu wa Masuala ya Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu , Bi.Winfrida Ngowi amesema Ofisi ya Waziri Mkuu kwa kushirikiana na Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni kwa ufadhili wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) ilitekeleza mradi wa kuimarisha uwezo wa Wilaya katika kupunguza vihatarishi vya maafa na kujenga jamii stahimilivu dhidi ya majanga.
 
 
Amesema lengo la utekeleaji wa mradi huo ni pamoja na kuweka mgawanyo wa majukumu kwa wadau wote waliopo katika Wilaya pamoja na kuainisha rasilimali zilizopo na kuweka mikakati endelevu na ya muda mrefu ya kupunguza vihatarishi vya maafa ikiwa ni pamoja na kuandaa mikakati ya namna ya kuwajengea uwezo wananchi.
 
Aidha amesema katika utekelezaji wa mradi huo ilifanyika tathmini ya kubaini vihatarishi vya maafa, uwezekano wa kuathirika na uwezo wa jamii kuzuia, kujiandaa na kukabili maafa.
 
“Tathmini hii ilifanyika katika mitaa ambayo ni Mtaa wa msisiri A (Kata ya Mwananyamala), Mtaa wa Kigogo (Kata ya Kigogo) na Mtambani (Kata ya Mzimuni) na Mtaa wa Mkunduge (Kata ya Tandale). Vigezo vilivyotumika kuteua mitaa hiyo ni suala la kujirudia kwa maafa ya mafuriko katika mitaa hiyo”. Amesema
 
Amesema tathmini ilifanyika kwa siku tano kuanzia tarehe 6 -10 Machi, 2023 ambapo timu ya tathmini iliundwa na wataalam 14 ambapo wataalam watano (5) walitoka Ofisi ya Waziri Mkuu, wataalam tisa (9) walitoka Idara na Vitengo vya Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, na mtaalam mmoja alitoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam.
 
Hata hivyo amesema tathmini ya vihatarishi vya maafa katika Wilaya ya Kinondoni ilibaini kuwa Majanga makuu yanayoikabili Wilaya ya Kinondoni ni mafuriko na magonjwa ya mlipuko. Majanga mengine yaliyotajwa ni ajali za barabarani na ajali za moto na vilevile baadhi ya miundombinu ya kutolea huduma muhimu kwa jamii kama vile elimu ipo katika maeneo yanayoweza kukumbwa na mafuriko.
 
Vilevile amesema walibaini kuwa Wanawake, Watoto, watu wenye ulemavu na wazee huathirika zaidi na maafa ikilinganishwa na makundi mengine katika jamii pia Jamii haina uelewa wa kutosha kuhusu hatua zinazoweza kuchukuliwa na mtu mmoja mmoja ili kupunguza vihatarishi vya maafa.
 
 Nae Mwakilishi kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu Bi.Triningile Mwakalukwa ametoa wito kwamba, Mpango na Mkakati wa Kupunguza Vihatarishi vya Maafa ulioandaliwa uwe chachu ya ushirikishaji jamii na wadau, kujenga uelewa kwa jamii kuhusu masuala ya usimamizi wa maafa, kuimarisha mfumo wa utoaji tahadhari ya awali, kujenga uwezo wa kuzuia, kupunguza madhara, na kujiandaa kukabiliana na maafa.
 
 
Amesema mkakati wa Kupunguza Vihatarishi vya Maafa katika Wilaya ya Kinondoni ni hatua nzuri kuelekea katika ujenzi wa jamii stahimilivu dhidi ya majanga katika hii ya Kinondoni.
 
Ameeleza kuwa mkakati huo ni kitendea kazi muhimu cha kusaidia katika kuingiza masuala ya usimamizi wa maafa katika mipango ya maendeleo ya Idara, Vitengo na Taasisi zilizopo katika Wilaya . Aidha, Mkakati huu ni dira katika kuzuia, kupunguza madhara na kujiandaa kukabiliana na maafa katika Wilaya ya Kinondoni.

About the author

Alex Sonna