Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

betsat

pusulabet, pusulabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

grandpashabet

bets10

dinamobet giriş

ultrabet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

jojobet

casibom

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

nakitbahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

perabet

tipobet

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

Redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

Marmaris Tekne Turu

jojobet

tubidy

nakitbahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

casibom

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

casibom

Hacking Forum

Featured Kitaifa

TUZO YA MWALIMU NYERERE YA UANDISHI BUNIFU KUTOLEWA APRIL 13,2023

Written by Alex Sonna

Kilele cha Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu kinatarajia kufanyika Aprili 13, 2023 Jijini Dar es Salaam na kushuhudiwa na waandishi mahiri kutoka nchi mbalimbali duniani.

Hayo yamesemwa leo Machi 29, 2023 kisiwani Zanzibar na Prof. Adolf Mkenda, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia wakati wa mkutano wake na waandishi wa habari ambapo amesema tuzo hizo zitakuwa zikifanyika kila mwaka tarehe 13 Aprili ikiwa ni siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa Baba wa Taifa, Mwl. Julius Kambarage Nyerere.

Waziri Mkenda ametaja malengo makuu ya tuzo hizo kuwa ni kukuza uandishi bunifu, kukuza usomaji, kuimarisha sekta ya uchapishaji na, kuhifadhi na kueneza utamaduni wa nchi yetu na kuongeza kuwa Serikali inatamani wapatikane waandishi mahiri wa Kitanzania ambao uandishi wao utashindanishwa katika tuzo za kimataifa.

“Tungependa huko mbele ya safari tuwe na waandishi bunifu wa Kitanzania ambao uandishi wao utakuwa maarufu sana duniani, watu watatafsiri vitabu vyao katika lugha mbalimbali ili nao waweze kushinda tuzo za kimataifa kama ya Nobel,” ameongeza Prof. Mkenda

Prof. Mkenda amesema tuzo hii itatolewa kwa wanaoandika kwa lugha ya Kiswahili na itakuwa inatolewa katika nyanja sita ambazo ni riwaya, hadithi fupifupi, mashairi, vitabu vya watoto, tamthilia na tafsiri ya vitabu vingine. Ameongeza kuwa kwa Mwaka huu tuzo zitatolewa katika uandishi wa Riwaya na Mashairi.

“Katika kila nyanja mshindi wa kwanza atapewa kitita cha Shilingi milioni 10, wa pili milioni 7 na wa tatu milioni 5. Wengine 7 wataungana na hawa watatu jumla 10, kila mmoja atapewa cheti cha kutambuliwa,” amefafanua Waziri Mkenda.

Mhe. Ali Abdulgulam Hussein, Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar akizungumza katika kikao hicho amesema mkutano na wanahabari umefanyika Zanzibar kwa kuwa tuzo hizo zinahusisha pande zote mbili za muungano.

“Mkutano huu kufanyika huku Zanzibar ni kuonesha kuwa hizi wizara zetu mbili zinafanya kazi kwa ushirikiano na hili suala linahusu waandishi bunifu kutoka pande zote mbili,” amesema Mhe. Ali Hussein.

Kwa upande wake Prof. Carolyne Nombo, Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia amesema Wizara ina lengo kubwa la kuimarisha uandishi na uchapishaji hivyo ubunifu wa Tuzo utakuwa endelevu na mwaka huu Wizara imetenga zaidi ya Shilingi bilioni moja kwa ajili ya utekelezaji wake.

“Kwa kutambua thamani ya tuzo hizi, Serikali itaendelea kutenga fedha kwa ajili ya tuzo hizi kwa kuwa zitakuwa endelevu,” amesema Katibu Mkuu Nombo.

Naye Prof. Penina Mlama Mwenyekiti wa Kamati ya Tuzo amesema tuzo hiyo imepokelewa kwa mwamko mkubwa sana kwani zilizinduliwa Septemba 2022 , miswada ikapokelewa hadi Novemba 2022 na ndani ya muda huo mfupi jumla ya mawasilisho 283 yamepokelewa.

“Tumefurahishwa sana na mawasilisho tuliyopokea sababu waandishi kutoka maeneo na kada mbalimbali Bara na Visiwani wameshiriki, wakiwemo wakulima, Wafanyakazi, wafanyabiashara, wanazuoni na waandishi wachanga,” amesema Prof. Mlama.

About the author

Alex Sonna