Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10 giriş

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

bets10

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

holiganbet

grandpashabet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

bets10

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

Featured Kitaifa

TANESCO YAZINDUA MPANGO WA MIAKA MINNE WENYE LENGO LA KUTATUA CHANGAMOTO ZA KIJINSIA

Written by Alex Sonna

NAIBU Waziri wa Nishati Mhe.Stephen Byabato,akikata utepe kuashiria  uzinduzi wa Programu ya Mpango wa miaka minne wa jinsia kuanzia mwaka 2023-2027, wenye lengo la kuboresha mfumo wa upatikanaji wa takwimu za kijinsia hafla iliyofanyika leo Machi 30,2023 jijini Dodoma.

NAIBU Waziri wa Nishati Mhe.Stephen Byabato ,akizungumza wakati wa uzinduzi wa Programu ya Mpango wa miaka minne wa jinsia kuanzia mwaka 2023-2027, wenye lengo la kuboresha mfumo wa upatikanaji wa takwimu za kijinsia hafla iliyofanyika leo Machi 30,2023 jijini Dodoma.

NAIBU Waziri wa Nishati Mhe.Stephen Byabato,akisisitiza jambo kwa washiriki wakati wa uzinduzi wa Programu ya Mpango wa miaka minne wa jinsia wenye lengo la kuboresha mfumo wa upatikanaji wa takwimu za kijinsia hafla iliyofanyika leo Machi 30,2023 jijini Dodoma.

NAIBU  Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati Bw. Athuman Selemani Mbuttuka,akizungumza wakati wa uzinduzi wa Programu ya Mpango wa miaka minne wa jinsia wenye lengo la kuboresha mfumo wa upatikanaji wa takwimu za kijinsia hafla iliyofanyika leo Machi 30,2023 jijini Dodoma.

MAKAMU  Mwenyekiti wa Bodi ya TANESCO Balozi Mwanaidi Maajar,akizungumza wakati wa uzinduzi wa Programu ya Mpango wa miaka minne wa jinsia wenye lengo la kuboresha mfumo wa upatikanaji wa takwimu za kijinsia hafla iliyofanyika leo Machi 30,2023 jijini Dodoma.

MKURUGENZI Mtendaji wa TANESCO,Bw.Maharage Chande ,akielezea malengo yaprogramu hiyo wakati wa uzinduzi wa Programu ya Mpango wa miaka minne wa jinsia wenye lengo la kuboresha mfumo wa upatikanaji wa takwimu za kijinsia hafla iliyofanyika leo Machi 30,2023 jijini Dodoma.

 

SEHEMU ya Washiriki wakimsikiliza Naibu Waziri wa Nishati Mhe.Stephen Byabato (hayupo pichani)  wakati wa uzinduzi wa Programu ya Mpango wa miaka minne wa jinsia kuanzia mwaka 2023-2027, wenye lengo la kuboresha mfumo wa upatikanaji wa takwimu za kijinsia hafla iliyofanyika leo Machi 30,2023 jijini Dodoma.

NAIBU Waziri wa Nishati Mhe.Stephen Byabato,akikata utepe kuashiria  uzinduzi wa Programu ya Mpango wa miaka minne wa jinsia kuanzia mwaka 2023-2027, wenye lengo la kuboresha mfumo wa upatikanaji wa takwimu za kijinsia hafla iliyofanyika leo Machi 30,2023 jijini Dodoma.

NAIBU Waziri wa Nishati Mhe.Stephen Byabato,akizindua logo itakayotumiaka katika  Programu ya Mpango wa miaka minne wa jinsia kuanzia mwaka 2023-2027, wenye lengo la kuboresha mfumo wa upatikanaji wa takwimu za kijinsia iliyozinduliwa  leo Machi 30,2023 jijini Dodoma.

NAIBU Waziri wa Nishati Mhe.Stephen Byabato akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuzindua Programu ya Mpango wa miaka minne wa jinsia kuanzia mwaka 2023-2027, wenye lengo la kuboresha mfumo wa upatikanaji wa takwimu za kijinsia hafla iliyofanyika leo Machi 30,2023 jijini Dodoma.

Na.Alex Sonna-DODOMA

SERIKALI kupitia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), limezindua Programu ya Mpango wa miaka minne wa jinsia kuanzia mwaka 2023-2027, wenye lengo la kuboresha mfumo wa upatikanaji wa takwimu za kijinsia.

Akizindua program hiyo  leo Machi 30,2023 jijini Dodoma Naibu Waziri wa Nishati Stephen Byabato amesema mradi huo unalenga kutengeneza sera za shirika na kujenga uwezo kuhusu masuala ya unyanyasaji wa kijinsia.

Mhe.Byabato amesema kuwa mradi huu utaenda kuleta usawa wa kijinsia  TANESCO  kwasababu kutakuwa na mafunzo yanayotolewa kwa ajili ya kujenga uelewa kuwa na uweledi katika masuala ya kinjisia.

“Mradi huu unatekelezwa na TANESCO lengo ni kuhakikisha watumishi wanaofanya kazi katika taasisi hiyo wanapata haki sawa,lengo ni kuhakikisha nafasi mbalimbali zinazojitokeza zinahusisha jinsia zote bila ubaguzi na kujenga usawa.”amesema Mhe.Byabato

Aidha amesema kuwa  mradi huo, utasaidia kuwepo kwa taarifa sahihi za unyanyasaji wa kijinsia katika shirika, kuruhusu fursa ya ukuzaji taaluma kwa wafanyakazi wanawake na kuongeza mafunzo kwa vitendo kwa wafanyakazi wanawake waliopo kazini.

”Katika mradi huo tumekubaliana kuunda kitengo maalumu ambacho kitakuwa na bajeti na kujengewa uwezo kuhusu masuala ya jinsia ili mtu anapopata changamoto awe na sehemu ya kwenda kusema na kupata msaada.”ameongeza 

Kwa upande wake Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya TANESCO Balozi Mwanaidi Maajar amesema kuwa  maendeleo hayawezi kuwepo kama hakutakuwa na usawa wa kijinsia.

“Tunataka wanawake wa TANESCO wawe na haki na wajibu sawa na wanaume kusiwepo na vitendo vya vitisho akashindwa kufanya maamuzi mbalimbali.pia katika meza ya maamuzi na wanawake nao washirikishwe ili kujenga usawa mahali pa kazi.”ameeleza Balozi Maajar

Awali  Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO,Bw.Maharage Chande amesema kuwa lengo la programu hiyo  ni kutatua changamoto wanazokutana nazo wanafunzi wanawake katika maeneo yao ya kazi kwa lengo la kukuza ajira zao ili kuongeza idadi ya wanawake wanaoajiriwa.

Amesema maeneo ya kimkakati yatakayopewa kipaumbele kuwa ni kuiboresha sera ya Shirika na kujenga uwezo ili sera iende sambamba na masuala ya kijinsia,kuwepo na taarifa sahihi zinazohusu masuala ya unyanyasaji wa kijinsia kwenye Taasisi,kuruhusu fursa ya ukuzaji wa taaluma kwa wafanyakazi wanawake hasa wanaofanyakazi kwenye miradi na kuwepo kwa nafasi ya mafunzo kwa vitengo kwa wafanyakazi wanawake waliopo kazini ili kuwajengea uwezo kuelekea kwenye ajira kamili.

Amesema mradi wa kusafirisha umeme wa Tanzania hadi Zambia (TAZA),Chande ameeleza kuwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Nishati na TANESCO wanatekeleza ujenzi wa mradi wa upanuzi wa njia ya kusafirisha umeme mkubwa wa kilovoti 400 kutoka katika kituo cha kupokea,Kupoza na kusafirisha umeme mkubwa cha Tagamenda Iringa kwenda kwenye nchi zilizopo kusini mwa Tanzania(Southern African Power Pool)kupitia Kisada Iringa,Iganjo Mbeya na Nkangamo Tunduma Songwe.

“Mradi huu unafadhiliwa na Jumuiya ya Kimataifa ya Maendeleo (IDA) ya Benki ya Dunia kwa mkopo wa Dola za Kimarekani milioni 455,Mfuko wa Maendeleo wa Ufaransa (AfD) kwa mkopo wa Dola za Kimarekani milioni 115,umoja wa Nchi za Ulaya(EU)kwa Dola za Kimarekani milioni 30 pamoja na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Dola za Kimarekani milioni 10,”ameeleza

Aidha  amekitaja kituo hicho cha Tagamenda kuwa ni kitovu cha kusafirisha umeme mkubwa wa kilovoti 220 kwenda kwenye mikoa takribani 18 nchini.

“Na kwa upande mwingine kituo hiki kimeunganishwa na kituo cha umeme cha zuzu Dodoma ili kusafirisha umeme mkubwa kwenda kwenye nchi zilizopo Mashariki mwa Tanzania ambazo ni Kenya,Uganda na Ethiopia kupitia mradi wa kuunganisha umeme baina ya Kenya na Tanzania(Kenya-Tanzania Power Interconnection Project-KTPIP)

About the author

Alex Sonna