Featured Michezo

MERIDIANBET KWA HILI HAKIKA WAMEWEZA

Written by mzalendoeditor

Pata mizunguko 50 ya bure kucheza sloti na michezo ya kasino ya mtandaoni ukijisajili na Meridianbet. Jisajili kupitia link hii

Nasemajee!! Kama wewe umekua ukichana mikeka yako basi acha mara moja hiyo ni hela unaichana, mkeka wako una odds kuanzia 25 na kuendelea halafu ikitokea timu moja imekuchania mkeka wako usihofu Meridianbet mabingwa wa odds kubwa bao wewe ni mshindi.

Habari njema zikufikie popote ulipo mdau wa kubashiri na Meridianbet kwa kuwa unapata odds kubwa, machaguo Zaidi ya 1000+na Ofa za kumwanga, kuna hii nyingine ya kijanja Zaidi unaambiwaje usijali endapo mkeka wako utachanika kwa timu moja,kwao Meridianbet mkeka bado umeshinda kwa sababu wanakurudishia mara 100 ya dau lako uliloweka.

 

Nifanyeje Nirudishiwe Hela Zangu?

Kitu unachopaswa kufanya ni kuhakikisha umebashiri tiketi yenye odds kubwa kuanzia 25+ hadi 950+ utarejeshe wa mara 100 ya dau lako endapo ikatokea timu moja imechana mkeka wako.

Mchanganuo Uko hivi!

 

Zingatia:

  • Tiketi haitakiwi kuwa na bashiri ya mechi moja tu
  • Unatakiwa uwe na angala ubashiri moja kutoka bashiri za kabla
  • Haitakiwa kuweka machaguo mengi (Mult-bet) kutoka mechi moja
  • Hii ni maalumu kwa tiketi zilizopoteza mechi moja na dau la bonasi hali husiki kwenye promosheni hii.
  • Kupata jumla ya ushindi zidisha jumla ya odds zilizoshinda pekee (Odds za bonasi hazi hesabiwi) kisha zidisha kwa namba zilizoainishwa kwenye jedwali hapo kulingana na idadi ya mechi kwenye tiketi yako.
  • Hesabu za Odds kubwa zilizoshinda hazihusishi ongezeko la odds za bonasi.

 

NB: Meridianbet imekuja na Jakipoti kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= PIGA *149*10#

 

#MERIDIANBET CHAGUA TUKUPE

About the author

mzalendoeditor