Featured Kitaifa

WAZIRI MKUU ATEMBELEA KIWANDA CHA CHAKI MASWA

Written by mzalendoeditor

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama mitambo ya kwanda cha chaki  cha Maswa wakati alipotembelea kiwanda hicho akiwa katika ziara ya mkoa wa Simiyu, Machi 26, 2023. Kulia ni Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Simiyu, Shemsa Mohamed. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu()

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitembelea kiwanda cha chaki cha Maswa akiwa katika ziara ya Mkoa wa Simiyu, Machi 26, 2023. Wengine kutoka kulia ni Mbunge wa Itilima, Njalu Silanga, Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Dkt Yahaya Nawanda na Mbunge Maswa  Mashariki,  Stanslaus Nyongo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

mzalendoeditor