Featured Kitaifa

WAZIRI MKUU AWASILI SHINYANGA AKIWA NJIANI KWENDA SIMIYU

Written by mzalendoeditor
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Christina Mndeme wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Ibadakuli Shinyanga akiwa njiani kuelekea Bariadi mkoani  Simiyu ambako atakuwa mgeni rasmi katika Maadhimisho ya Siku ya Kifua Kikuu Duniani, Machi 24, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na vionghozi wa Mkoa wa Shinyanga wakati alipowasili kwenye uwanja wa Ndege wa Ibadakuli mkoani Shinyanga akiwa njiani kwenda Bariadi mkoani Simiyu ambako atakuwa mgeni rasmi katika Maadhimisho ya Siku ya Kifua Kikuu Duniani, Machi 24, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozana  na Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Christina Mndeme wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Ibadakuli, Shinyanga akiwa njiani kuelekea Bariadi mkoani  Simiyu ambako atakuwa mgeni rasmi kaaika Maadhimisho ya Siku ya Kifua Kikuu Duniani, Machi 24, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

About the author

mzalendoeditor