Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

mislibet

pokerklas

jojobet giriş

marsbahis

tarafbet

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

casibom giriş

pokerklas

royalbet giriş

tümbet

tümbet giriş

tümbet giriş

tümbet

betpark giriş

betixir

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

ilbet

ilbet giriş

bets10

bets10 giriş

bets10

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu

galabet

İkimisli

onwin

grandpashabet

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10 giriş

mobilbahis

casibom

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

jojobet güncel

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet

artemisbet

mislibet

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

betpark

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

grandpashabet

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

güvenilir casino siteleri

Hacklink Panel

teosbet

vdcasino giriş

zirvebet

mislibet giriş

imajbet

jojobet

nerobet

jojobet giriş

artemisbet giriş

Meritking

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

caddebet

jojobet

jojobet

holiganbet

trust score weak 3

jojobet giriş

ikimisli

tipobet

mislibet

jojobet adres

casibom

realbahis

ikimisli

queenbet

jojobet

sekabet giriş

netbahis

sapanca bungalov

marsbahis giriş

jojobet giriş

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu

betturkey

betturkey giriş

galabet giriş

galabet

betpas

1xbet giriş

holiganbet giriş

restbet

dinamobet giriş

hackhaber

grandpashabet

film izle

casibom

caddebet, caddebet giriş

pokerklas, pokerklas giriş

monobahis, monobahis giriş

superbetin

meritking

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

onwin

monobahis

cratosroyalbet

ligobet giriş

bets10 güncel giriş adresi

tempobet

jojobet giriş

perabet

ilbet

deneme bonusu

casibom güncel giriş

sweet bonanza siteleri

Ankara escort

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

dizipal

vdcasino giriş

piabet

caddebet, caddebet giriş

google

piabet

piabet

marsbahis

atlasbet

grandpashabet

deneme bonusu veren siteler

slot siteleri

casibom güncel giriş

casibom giriş

sweet bonanza

casibom

betflix giriş

betflix

betturkey

pusulabet

jojobet

grandpashabet

grandpashabet

radissonbet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino giriş

ikimisli

queenbet

jojobet

holiganbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

casibom giriş

casibom

mavibet

meritking giriş

meritking

marsbahis

betsmove

betsmove

mavibet

holiganbet giriş

jojobet

goldenbahis

holiganbet

galabet

holiganbet

mislibet

casibom

matbet

Hacklink panel

betturkey

jojobet

google giir

jojobet

madridbet

realbahis

casibom giriş

royalbet

jojobet giriş

royalbet

casibom giriş

casibom giriş

casibom

merit

bahsegel

bahsegel giriş

galabet

galabet giriş

sahabet

meritking giriş

meritking

truvabet

betgaranti

betoffice

piabet

Bet365 Giriş

betturkey

betturkey giriş

atlasbet giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

mislibet giriş

hitbet

galabet

betpark giriş

betpark

betpark

betpark güncel giriş

betpark giriş

runtobet

runtobet giriş

1xbet

monobahis, monobahis giriş

betine

jojobet

betvole

betvole

betkolik

betkolik

betplay

betplay

aresbet

aresbet

alfabahis

alfabahis

gobahis

gobahis

livebahis

livebahis

atlasbet

atlasbet

ultrabet

ultrabet

marsbahis

marsbahis

marsbahis

marsbahis

marsbahis

coinbar

coinbar

elitcasino

elitcasino

bahisfair

bahisfair

gonebet

gonebet

betovis

betovis

golegol

goldenbahis

pokerklas, pokerklas giriş

jestbahis, jestbahis giriş

Featured Kitaifa

BARRICK YAKABIDHI GARI LA WAGONJWA ‘AMBULANCE’ KITUO CHA AFYA BUGARAMA

Written by Alex Sonna
Mtendaji Mkuu ambaye pia ni Rais wa Kampuni ya Barrick Gold Corporation Mark Bristow na Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mhe. Mboni Mhita (kulia) wakikata utepe wakati wa hafla fupi ya kukabidhi gari la kubebea wagonjwa katika kituo cha afya Bugarama kilichopo katika Halmashauri ya Msalala.
 
 
Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
Kampuni ya Uchimbaji Madini ya Dhahabu ya Barrick imechangia gari maalumu la kubebea wagonjwa ‘Ambulance’ katika Kituo cha afya Bugarama kilichopo kata ya Bugarama Halmashauri ya wilaya ya Msalala Mkoani Shinyanga.
 
 
Gari hilo limekabidhiwa leo Jumatano Machi 22,2023 na
Mtendaji Mkuu ambaye pia ni Rais wa Kampuni ya Barrick Gold Corporation Mark Bristow kwa Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mhe. Mboni Mhita.
 
 
Akizungumza wakati wa hafla fupi ya makabidhiano ya gari hilo iliyofanyika katika Kituo cha Afya Bugarama, Bristow amesema Barrick inathamini suala la usalama na afya katika jamii ndiyo maana imeamua kutoa gari hilo kama sehemu ya mchango wao katika kuboresha huduma za afya kwa jamii inayozunguka mgodi wa Barrick Bulyanhulu uliopo katika Halmashauri ya Msalala.
 
 
“Gari hili tumelitoa kama sehemu ya mchango wetu kwa jamii ni nje ya Fedha za mfuko wa uwajibikaji kwa jamii,tunaamini litasaidia katika kuboresha huduma za afya kwa wananchi. Tutahakikisha tunaendelea kushirikiana na  jamii inayozunguka migodi yetu”, amesema Bristow.
 
Kwa upande wake, Mkuu wa wilaya ya Kahama Mhe. Mboni Mhita ameishukuru Kampuni ya Barrick kwa namna inavyojitahidi kutekeleza miradi  mingi inayogusa wananchi huku akisisitiza kuwa serikali itaendelea kushirikiana na Wawekezaji ili kuwaletea maendeleo wananchi.
 
 
“Tunawashukuru Barrick kwa kutekeleza ahadi ya kuleta Ambulance katika kituo hiki cha Afya Bugarama. Gari hili litasaidia kutatua changamoto zilizopo…Nasi tunaahidi kutunza na kutumia gari hili kwa malengo yaliyokusudiwa. Ambulance hii itaongeza nguvu katika utoaji wa huduma za afya”, amesema Mhita.
 
“Barrick wamekuwa wadau wakubwa katika wilaya ya Kahama, wana miradi mingi inayogusa wananchi na hii inatokana na ushirikiano mzuri uliopo baina ya Serikali na Kampuni ya Barrick”, ameongeza.
 
 
Nao Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Msalala Leonard Mabula na Diwani wa Kata ya Bugarama, Mhe. Prisca Msoma wameishukuru Barrick kwa kutekeleza kwa wakati ombi la Ambulance ili kutatua changamoto ya huduma za matibabu katika kituo hicho cha afya kinachohudumia jamii ya Bugarama na maeneo ya jirani ikiwemo Geita.
 
 
Mganga Mfawidhi wa Kituo cha afya Bugarama Dkt. Silas Kayanda na Mganga mkuu wa Halmashauri ya Msalala Dkt. Sisti Mosha wamesema walitoa ombi la kupatiwa Ambulance kutoka Barrick mnamo Januari 25, 2023 huku wakieleza kuwa kupatikana kwa gari hilo kutapunguza changamoto ya usafiri kwa wagonjwa katika kituo hicho cha afya.
Mtendaji Mkuu ambaye pia ni Rais wa Kampuni ya Barrick Gold Corporation Mark Bristow na Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mhe. Mboni Mhita (kulia) wakikata utepe wakati wa hafla fupi ya kukabidhi gari la kubebea wagonjwa katika kituo cha afya Bugarama kilichopo katika Halmashauri ya Msalala.
Mtendaji Mkuu ambaye pia ni Rais wa Kampuni ya Barrick Gold Corporation Mark Bristow na Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mhe. Mboni Mhita (kulia) wakikata utepe wakati wa hafla fupi ya kukabidhi gari la kubebea wagonjwa katika kituo cha afya Bugarama kilichopo katika Halmashauri ya Msalala.
Mtendaji Mkuu ambaye pia ni Rais wa Kampuni ya Barrick Gold Corporation Mark Bristow akimkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mhe. Mboni Mhita funguo ya gari la kubebea wagonjwa katika kituo cha afya Bugarama kilichopo katika Halmashauri ya Msalala.
Mtendaji Mkuu ambaye pia ni Rais wa Kampuni ya Barrick Gold Corporation Mark Bristow na Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mhe. Mboni Mhita (kulia) wakishikana mkono wakati wa hafla fupi ya kukabidhi gari la kubebea wagonjwa katika kituo cha afya Bugarama kilichopo katika Halmashauri ya Msalala.
Mtendaji Mkuu ambaye pia ni Rais wa Kampuni ya Barrick Gold Corporation Mark Bristow na Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mhe. Mboni Mhita (kulia) wakishikana mkono wakati wa hafla fupi ya kukabidhi gari la kubebea wagonjwa katika kituo cha afya Bugarama kilichopo katika Halmashauri ya Msalala.
Muonekano wa gari la kubebea wagonjwa katika kituo cha afya Bugarama kilichopo katika Halmashauri ya Msalala.
Muonekano wa gari la kubebea wagonjwa katika kituo cha afya Bugarama kilichopo katika Halmashauri ya Msalala.
Mtendaji Mkuu ambaye pia ni Rais wa Kampuni ya Barrick Gold Corporation Mark Bristow akizungumza wakati wa hafla fupi ya kukabidhi gari la kubebea wagonjwa katika kituo cha afya Bugarama kilichopo katika Halmashauri ya Msalala.
Mtendaji Mkuu ambaye pia ni Rais wa Kampuni ya Barrick Gold Corporation Mark Bristow akizungumza wakati wa hafla fupi ya kukabidhi gari la kubebea wagonjwa katika kituo cha afya Bugarama kilichopo katika Halmashauri ya Msalala.
Mtendaji Mkuu ambaye pia ni Rais wa Kampuni ya Barrick Gold Corporation Mark Bristow akizungumza wakati wa hafla fupi ya kukabidhi gari la kubebea wagonjwa katika kituo cha afya Bugarama kilichopo katika Halmashauri ya Msalala.
Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mhe. Mboni Mhita akizungumza wakati wa hafla fupi ya kukabidhi gari la kubebea wagonjwa katika kituo cha afya Bugarama kilichopo katika Halmashauri ya Msalala.
Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mhe. Mboni Mhita akizungumza wakati wa hafla fupi ya kukabidhi gari la kubebea wagonjwa katika kituo cha afya Bugarama kilichopo katika Halmashauri ya Msalala.
Meneja Mkuu wa Mgodi wa Barrick Bulyanhulu, Cheick Sangare akizungumza wakati wa hafla fupi ya kukabidhi gari la kubebea wagonjwa katika kituo cha afya Bugarama kilichopo katika Halmashauri ya Msalala.
Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Msalala Leonard Mabula akizungumza wakati wa hafla fupi ya kukabidhi gari la kubebea wagonjwa katika kituo cha afya Bugarama kilichopo katika Halmashauri ya Msalala.
Diwani wa Kata ya Bugarama Mhe. Prisca Msoma akizungumza wakati wa hafla fupi ya kukabidhi gari la kubebea wagonjwa katika kituo cha afya Bugarama kilichopo katika Halmashauri ya Msalala.
Mganga mkuu wa Halmashauri ya Msalala Dkt. Sisti Mosha akizungumza wakati wa hafla fupi ya kukabidhi gari la kubebea wagonjwa katika kituo cha afya Bugarama kilichopo katika Halmashauri ya Msalala.
Mganga Mfawidhi wa Kituo cha afya Bugarama Dkt. Silas Kayanda akizungumza wakati wa hafla fupi ya kukabidhi gari la kubebea wagonjwa katika kituo cha afya Bugarama kilichopo katika Halmashauri ya Msalala.
 
Mtendaji Mkuu ambaye pia ni Rais wa Kampuni ya Barrick Gold Corporation Mark Bristow akizungumza jambo na Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mhe. Mboni Mhita wakati wa hafla fupi ya kukabidhi gari la kubebea wagonjwa katika kituo cha afya Bugarama kilichopo katika Halmashauri ya Msalala.
Wadau wakifuatilia matukio yaliyokuwa yanaendelea
Awali Mtendaji Mkuu ambaye pia ni Rais wa Kampuni ya Barrick Gold Corporation Mark Bristow akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mhe. Mboni Mhita (kushoto).
Mtendaji Mkuu ambaye pia ni Rais wa Kampuni ya Barrick Gold Corporation Mark Bristow na Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mhe. Mboni Mhita wakipiga picha na viongozi mbalimbali wa Kampuni ya Barrick na Serikali
Mtendaji Mkuu ambaye pia ni Rais wa Kampuni ya Barrick Gold Corporation Mark Bristow na Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mhe. Mboni Mhita wakipiga picha na wadau mbalimbali.
 
 
Picha zote na Kadama Malunde – Malunde 1 blog

About the author

Alex Sonna