slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

deneme bonusu veren siteler

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

holiganbet giriş

NervEase

https://r10.net/

hardcore porn

https://r10.net

pusulabet

grandpashabet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

casinoroyal

betasus

sekabet

jojobet

film izle

1xbet giriş

1xbet

jojobet

marsbahis

marsbahis

artemisbet giriş

imajbet giriş

goldenbahis

goldenbahis giriş

perabet giriş

klasbahis

goldenbahis

holiganbet

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

betgar, betgar giriş

betgar, betgar giriş

matbet, matbet giriş

holiganbet

restbet

casibom

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

royalbet

trimology review

jojobet

jojobet

jojobet güncel

jojobet

holiganbet

jojobet adres

jojobet

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet güncel giriş

flower disease

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

norabahis

madridbet

grandpashabet giriş

Jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

betpark giriş

trendbet

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

bets10

bets10 giriş

bets10

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

İkimisli

onwin

superbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10 giriş

bets10

holiganbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

imajbet giriş

artemisbet

kavbet

kavbet

imajbet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

betpark

deneme bonusu 888

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

superbetin

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

page

Hacklink Panel

holiganbet

vdcasino giriş

bets10 giriş

mislibet

goldenbahis giriş

imajbet

mislibet giriş

kavbet giriş

imajbet

Meritking

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

royalbet giriş

jojobet

bets10

bets10

trust score weak 3

jojobet giriş

bets10 giriş

tipobet

mislibet

kavbet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet

jojobet giriş

dinamobet giriş

netbahis

sapanca bungalov

marsbahis giriş

deneme bonusu 2026

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

grandpashabet

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet

casibom giriş

deneme bonusu

dinamobet giriş

hackhaber

casibom

deneme bonusu veren siteler

casibom

bahiscasino, bahiscaasino giriş

marsbahis, marsbahis giriş

kulisbet, kulisbet giriş

bets10

bets10

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

onwin

royalbet

marsbahis

tipobet giriş

bets10 güncel giriş adresi

betsat

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

sweet bonanza

jojobet giriş

holiganbet giriş

Ankara escort

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino giriş

lunabet

galabet, galabet giriş

grandpashabet

lunabet

lunabet

casibom

dental implants turkey

where to buy fentanyl canada

meritking

deneme bonusu 2026

casibom

holiganbet

holiganbet

holiganbet giriş

holiganbet giriş

holiganbet

deneme bonusu

grandpashabet

jojobet

matbet

marsbahis

pusulabet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet giriş

meritking

meritking giriş

marsbahis

marsbahis giriş

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Hacklink panel

Casibom

betorder

matbet

matbet

matbet

matbet

holiganbet

Featured Kitaifa

TANZANIA, NORWAY KUSHIRIKIANA MIRADI YA UHIFADHI WA MAZINGIRA

Written by Alex Sonna
Mkurugenzi wa Mazingira Ofisi ya Makamu, Dkt. Andrew Komba akizungumza jambo wakati wa kikao cha majadiliano ya ushirikiano baina ya Serikali za Tanzania na Norway kilichofanyika katika za Ofisi ya Makamu wa Rais, Mji wa Serikali Mtumba  Jijini Dodoma
Sehemu ya wajumbe kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais na wale kutoka Ubalozi wa Norway wakifuatilia kikao cha majadiliano ya ushirikiano baina ya Serikali za Tanzania na Norway kilichofanyika katika za Ofisi ya Makamu wa Rais, Mji wa Serikali Mtumba Jijini Dodoma leo Jumanne Machi 21, 2023. 

 

Mshauri wa masuala ya mabadiliko ya Tabianchi kutoka Ubalozi wa Norway Odd Arnesen akibadilishana mawazo na Mkurugenzi wa Huduma za Sheria Ofisi ya Makamu wa Rais, Bw. Dustan Shimbo mara baada ya kumalizika kwa  kwa kikao cha majadiliano ya ushirikiano baina ya Serikali za Tanzania na Norway kilichofanyika katika za Ofisi ya Makamu wa Rais, Mji wa Serikali Mtumba Jijini Dodoma leo Jumanne Machi 21, 2023. 

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Bi. Mary Maganga (mwenye suti mstari wa mbele) akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe wa maofisa waandamizi kutoka kutoka Ubalozi wa Norway mara baada ya kumalizika kwa kikao cha majadiliano ya ushirikiano baina ya Serikali za Tanzania na Norway kilichofanyika katika za Ofisi ya Makamu wa Rais, Mji wa Serikali Mtumba Jijini Dodoma leo Jumanne Machi 21, 2023. 

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Bi. Mary Maganga akibadilishana mawazo na ujumbe wa maofisa waandamizi kutoka kutoka Ubalozi wa Norway mara baada ya kumalizika kwa kikao cha majadiliano ya ushirikiano baina ya Serikali za Tanzania na Norway kilichofanyika katika za Ofisi ya Makamu wa Rais, Mji wa Serikali Mtumba Jijini Dodoma leo Jumanne Machi 21, 2023

(PICHA NA OFISI NA MAKAMU WA RAIS)

Na Mwandishi Wetu,OMR- DODOMA

SERIKALI kupitia Ofisi ya Makamu wa Rais imesema Tanzania itaendelea kushirikiana na Serikali ya Norway katika masuala ya maendeleo na hususan ufadhili wa miradi ya uhifadhi wa mazingira na kuhimili mabadiliko ya tabianchi.

Hayo yamesemwa leo Jumanne (Machi 21, 2023) Jijini Dodoma na Mkurugenzi wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais, Dkt. Andrew Komba wakati wa kikao cha majadiliano ya ushirikiano baina Serikali hizo mbili kilicholenga mikakati ya utekelezaji wa miradi ya uhifadhi wa mazingira na kuhimili mabadiliko ya tabianchi.

Akiwasilisha salamu za Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Bi. Mary Maganga, Dkt. Komba amesema Serikali ya Norway imekuwa na ushirikiano wa muda mrefu na Tanzania katika sekta mbalimbali na kuongeza kuwa kwa sasa masuala ya mazingira yanazidi kupewa kipaumbele katika ushirikiano baina ya nchi hizo mbili.

Dkt. Komba ameelezaa Serikali ya Tanzania itaendelea kushirikiana Norway katika masuala ya usimamizi na matumizi endelevu ya rasilimali zinazopatikana baharini bila kuathiri hifadhi ya mazingira na kuanisha hatua mbalimbali zilizofikiwa katika juhudi za uhifadhi na usimamizi wa mazingira nchini.

Akifafanua zaidi Dkt. Komba ameitaja moja ya miradi inayotekelezwa na Serikali ya Norway kupitia Shirika la Maendeleo la Norway NORAD ni pamoja na Mradi wa kujengea uwezo Taasisi zinazojishughulisha na masuala ya mazingira ili kupunguza hewa ukaa inayosababishwa na ukataji miti na uhalibifu wa Misitu (REDD+ READY) unaotekelezwa Tanzania Bara na Zanzibar.

Aidha Dkt. Komba amebainisha moja ya manufaa ya utekelezaji wa Mradi wa (REDD+ READY) ni pamoja uimarishwaji wa mifumo ya usimamizi endelevu ya matumizi ya ardhi kwa ajili ya shughuli za kiuchumi ikiwemo kilimo ambapo kumewezesha kupungua kwa uhalibifu wa mazingira ikiwemo ukataji miti na uchomaji wa misitu.

“Mabadiliko ya tabianchi yapo na upo uwezekano wa kukabiliana nayo, kwa kuwa ardhi bado ipo tunaweza kurejesha uoto wa asili ili vizazi vijavyo kunufaika. Serikali imeendelea  kuchukua hatua muhimu za uhifadhi wa mazingira kwa kuendelea kushirikiana na wadau na wafadhili mbalimbali ikiwemo NORAD” amesema Dkt. Komba.

Kwa upande wake Mwakilishi wa masuala ya mabadiliko ya Tabianchi kutoka Ubalozi wa Norway, Bw. Odd Arnesen ameipongeza Tanzania kwa kuchukua hatua na jitihada mbalimbali za kupambana na athari za mabadiliko ya tabianchi ambazo zimekuwa zikihatarisha usalama wa chakula.

Kikao hicho kilihudhuriwa na Menejimenti ya Ofisi ya Makamu wa Rais pamoja na viongozi, maofisa waandamizi na wataalamu kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais na Ubalozi wa Norway nchini Tanzania.

About the author

Alex Sonna