Featured Michezo

MERIDIANBET KASINO YA MTANDAONI IMETEMA

Written by mzalendoeditor

Meridianbet Kasino ya Mtandaoni kwa kushirikiana na Expanse studio wamekuja na habari njema kwako wewe mpenzi wa michezo ya kasino, unambiwajee kama umejisajili cheza michezo yeyote ya kasino kutoka Expanse ujishindie mpaka Tsh 800,000/=

Meridianbet wakali wa Kasino ya mtandaoni wenye sloti rahisi kushinda kama Aviator, Poker na Roullete wanagawa mpunga wa kutosha mwezi huu, usipange kukosa. Michezo ya sloti inayohusika kutoa mtonyo huu ni Book of Egypt, Bounty hunters, Capital City Derby, Forest Rock, Pirates Power, Spinning Buddha, The Book of Eskimo, Wild icy fruits.

Jinsi ya Kushiriki kwenye Promosheni hii

 

Ni rahisi sana wala huhitaji kutumia nguvu kubwa, ni kama kumsukuma mlevi vile hata kwa kutumia kidolea na sogeat u. Cha kufanya zingatia yafuatayo ili kuwa moja ya wachezaji wazuri wa Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet:

 • Promosheni ya mashindano ya Expanse – itafanyika katika kipindi cha kuanzia Machi 17 mpaka Machi 22-2023.

 • Promosheni hii itahusisha wachezaji waliosajiliwa kwenye APP ya simu na tovuti ya www.meridianbet.co.tz

 

 • Orodha ya nafasi iko ndani ya mchezo na  itaonekanasaa 24 baada ya mwisho wa mashindano.

 • Kulingana na orodha ya mwisho ya nafasi, wachezaji 5 walioshika nafasi  za juu watatunukiwa bonasi za kasino ya mtandaoni katika viwango vifuatavyo:

 • 1. Nafasiya Kwanza 250,000 TZS
 • 2. Nafasiya Pili 200,000 TZS
 • 3. NafasiyaTatu 150,000 TZS
 • 4. Nafasiyanne 100,000 TZS
 • 5. NafasiyaTano 100,000 TZS

 • Ili bonasi ya kasino ya mtandaoni iliyokabidhiwa ihamishwe kwa akaunti ya pesa ya mchezaji, ni muhimu kuiwekeza mara 30 kwenye mchezo wowote wa  yanayopangwa wa mtoa huduma wa Expanse. Ushindi wa juu unaoweza kutolewa ni 500,000TZS.

 • Ofa hii ni halali kwa kila mtumiaji, anwani ya IP na kaya.

About the author

mzalendoeditor