Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

Hacklink panel

betturkey

nerobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

nakitbahis giriş

marsbahis

marsbahis

kendin tasarla mousepad

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

casibom giriş

pusulabet

grandpashabet

pusulabet

betlivo

betra

piabellacasino giriş

marsbahis

slot siteleri

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

grandpashabet giriş

betpark

betpark

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

tipobet

redwin

deneme bonusu

bahis siteleri

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

jojobet

tubidy

nakitbahis

Girne Escort

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu

slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Jojobet

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

casibom

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

jojobet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

grandpashabet

Hacking Forum

modabet

vdcasino giriş

casibom

lunabet

Featured Kitaifa

KAMATI YA BUNGE YARIDHISHWA NA MAENDELEO NA MIKAKATI YA CHUO CHA NIT

Written by Alex Sonna

 

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu ikiongozwa na Mwenyekiti wake, Mhe. Selemani Kakoso wakimsikiliza mmoja wa wakufunzi wa Chuo Cha Taifa Cha Usafirishaji (NIT) mara baada ya Kamati  hiyo kufanya ziara kwenye Chuo hicho leo  Machi 17,2023 Jijini Dar es Salaam. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu ikiongozwa na Mwenyekiti wake, Mhe. Selemani Kakoso wakimsikiliza mmoja wa wakufunzi wa Chuo Cha Taifa Cha Usafirishaji (NIT) mara baada ya Kamati  hiyo kufanya ziara kwenye Chuo hicho leo  Machi 17,2023 Jijini Dar es Salaam. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu ikiongozwa na Mwenyekiti wake, Mhe. Selemani Kakoso wakimsikiliza mmoja wa wakufunzi wa Chuo Cha Taifa Cha Usafirishaji (NIT) mara baada ya Kamati  hiyo kufanya ziara kwenye Chuo hicho leo  Machi 17,2023 Jijini Dar es Salaam. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu ikiongozwa na Mwenyekiti wake, Mhe. Selemani Kakoso wakimsikiliza mmoja wa wakufunzi wa Chuo Cha Taifa Cha Usafirishaji (NIT) mara baada ya Kamati  hiyo kufanya ziara kwenye Chuo hicho leo  Machi 17,2023 Jijini Dar es Salaam.Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu Mhe. Selemani Kakoso akizungumza wakati Kamati hiyo ilipotembelea Chuo Cha Taifa Cha Usafirishaji (NIT) leo Machi 17,2023 Jijini Dar es Salaam.Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhandisi Godfrey Kasekenya akizungumza mara baada ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu kutembelea Chuo Cha Taifa Cha Usafirishaji (NIT) leo Machi  17, 2023 Jijini Dar es SalaamMkuu wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) Prof. Zakaria Mganilwa akizungumza wakati Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu ikiongozwa na Mwenyekiti wake, Mhe. Selemani Kakoso walipotembelea Chuo hicho leo Machi 17,2023 Jijini Dar es Salaam. Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu wakiwa katika Kikao na Watumishi wa Chuo Cha Taifa Cha Usafirishaji (NIT) mara baada ya kamati hiyo kufanya ziara Chuoni hapo leo Machi  17,2023 Jijini Dar es Salaam. Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu wakiwa katika Kikao na Watumishi wa Chuo Cha Taifa Cha Usafirishaji (NIT) mara baada ya kamati hiyo kufanya ziara Chuoni hapo leo Machi  17,2023 Jijini Dar es Salaam.

Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu wakiwa katika Kikao na Watumishi wa Chuo Cha Taifa Cha Usafirishaji (NIT) mara baada ya kamati hiyo kufanya ziara Chuoni hapo leo Machi  17,2023 Jijini Dar es Salaam. Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu wakiwa katika Kikao na Watumishi wa Chuo Cha Taifa Cha Usafirishaji (NIT) mara baada ya kamati hiyo kufanya ziara Chuoni hapo leo Machi  17,2023 Jijini Dar es Salaam.

(PICHA ZOTE NA EMMANUEL MBATILO)

 

-Yavitaka Vyuo Vingine vilivyo chini ya Wizara kuongeza nguvu

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imeishauri Serikali kuongeza Uwekezaji katika vyuo vinavyozalisha wataalamu kwenye sekta ya Ujenzi na Uchukuzi ili kutoa wahitimu wenye sifa zinazohitaji kwenye soko la ajira kwa manufaa ya Taifa hapo  baadae.

Ushauri wa Kamati hiyo umetolewa na Mwenyekiti wake Mhe. Selemani Kakoso mara baada ya kufanya ziara ya kuvitembelea Vyuo vya kisekta na kupokea taarifa ya utekelezaji wa Maendeleo ya Chuo Cha Bandari, Chuo  cha Taifa Cha Usafirishaji (NIT), Chuo Cha Hali ya Hewa,Chuo Cha Reli,Chuo Cha Usafiri wa Anga na Chuo Cha Bahari (DMI).

Ameeleza kulidhishwa na Maendeleo na Mikakati ya Chuo Cha Taifa Cha usafirishaji NIT huku akivitaka vyuo vingine vilivyo chini ya Wizara ya Ujenzi na uchukuzi kuongezewa nguvu ili viweze kutoa mafunzi kulingana na mahitaji ya Sasa.

Nae Mkuu wa chuo Cha Taifa Cha Usafirishaji (NIT) Prof. Zacharia Mganilwa ameishukuri Kamati ya Bunge ya Miundombinu na kusema kuwa maelekezo waliyopewa na Kamati hiyo watayasimamia kikamilifu ili kufikia matarajio yanayokusudiwa.

Naibu waziri wa Ujenzi na uchukuzi Mhandisi Godfrey Kasekenya amevitaka vyuo hivyo kutokuwa na uoga pindi Kamati za bunge zinapopita kukagua maendeleo ya vyuo vyao badala yake wawe huru na waeleze matatizo yao ili wasaidiwe huku Mkuu wa chuo Cha Usafiri wa Anga akisema maelekezo yaliyotolewa na Kamati hiyo Kwa Chuo chake ni mazuri na watayasimamia vyema kwasababu yanalenga Kuboresha zaidi

Pamoja na mambo mengine Kamati ya kudumu ya Bunge ya Miundombinu imeipongeza serikali Kwa hatua mbalimbali za kuimarisha sekta ya ujenzi na uchukuzi.

About the author

Alex Sonna