Featured Kitaifa

WAZIRI MKUU AHANI MSIBA WA MDOGO WA KATIBU MKUU OFISI YA WAZIRI MKUU

Written by mzalendoeditor

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishirika katika sala wakati alipowasili nyumba kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Dkt. Jim Yonaz  (kulia), eneo la Mbezi beach Kilongawima mkoani Dar es salaam kuhani msiba wa Yonaz Enock Yonaz ambaye   ni mdogo wa  Dkt.  Yonaz. Wa tatu kulia ni baba wa marehemu, Enock Yonaz.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitia saini kitabu cha maombolezo ya msiba wa  Yonaz Enock Yonaz ambaye ni mdogo wa Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Dkt.  Jim Yonaz (kulia) nyumbani kwa Katibu Mkuu huyo,  Mbezi beach Kilongawima mkoani Dar es salaam, Machi 17, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpa pole Enock Yonaz ambaye ni baba mzazi wa marehemu, Yonaz Enock Yonaz wakati alipokwenda nyumbani kwa katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Dkt. Jim Yonaz (kulia), Mbezi beach Kilongawima mkoani Dr es salaam  kuhani msiba huo, Machi 17, 2023. Marehemu ni mdogo wa Dkt. Jim Yonaz.

About the author

mzalendoeditor